My Corona relief trip and lessons therefrom


Haya maelezo yalifanya huu mgahawa utafutwe.
 
Umetisha Bob!

Duh! Nafurahi sana kuona ninayoyaandika yanahamasisha watu.

That means this thread has had an impact and thank God for that.

Hongera sana mkuu
Sure endelea kuandika tu ukisafiri maana zitasaidia watu wengine kwa namna moja au nyingine wakipita/fika kwenye miji hiyo au hata kuwapa uwanda wa kuchagua maeneo ya kuzungukia.
 
Sure endelea kuandika tu ukisafiri maana zitasaidia watu wengine kwa namna moja au nyingine wakipita/fika kwenye miji hiyo au hata kuwapa uwanda wa kuchagua maeneo ya kuzungukia.
Nimekuwa mvivu kiasi maana nlihisi watu hawafaidiki na mabandiko haya.

That's my 2020 holiday, my 2021 nilikuwa Egypt and I haven't written about it kwa sababu hiyo.

Right now I am in Congo Brazaville and later this year I will visit another country but ndio hivyo aiseee.

However, umenifanya nifikirie upya aiseee.
 
Mkuu andika unapopata nafasi unatoa fikra pia za watu kwenda maeneo tofauti na yale yaliyo maarufu. I went to Goreme as well all just because i read about it on this thread, although i could'nt get a baloon ride due to unfavorable weather conditions, all thanks to this thread. Or else I wouldn't have any idea if there was anything to explore in Turkey other than doing purchases in Istanbul.
 
Wow! This thread was meaningful then

Thank you bro, stay tuned I will write about Egypt soon.
 
Duuu bro ulitukosea sana aisee mada zako zinavutia hakuna mfano sema hujui tu yaan nikisoma mada zako natamani kusafiri sana sana na wewe ndo umenishawishi nianze hata mpango wa kutafuta passport so unapopata muda jitahidi kuandika visa humu kwa wingi,,big up bro
 
Duh samahanini wadau.

Unajua writers wanahitaji kuona audience inafaidika. Sasa ikitokea unahisi hufaidishi watu unaona achana nayo.

Remember, silipwi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…