My Corona relief trip and lessons therefrom

Hii siku ndiyo ulipost picha na kusema umetembea umbali mrefu na umeingia gharama kucheki game ya arsenal 😅😅😅

Pole na hongera
 
Hii siku ndiyo ulipost picha na kusema umetembea umbali mrefu na umeingia gharama kucheki game ya arsenal 😅😅😅

Pole na hongera
Ndio hii mkuu .

Duh! Hahahaahahahahahahahahahah

Umekumbuka??? Me nshasahau hata hahaahahahah. Timu yetu wameiharibu sana
 
Ndio hii mkuu .

Duh! Hahahaahahahahahahahahahah

Umekumbuka??? Me nshasahau hata hahaahahahah. Timu yetu wameiharibu sana
Yeah nimekumbuka. Ila pole sana, kua cashless ugenini huku unajua kabisa pesa ipo mtandaoni inachanganya.

Shida kuiacha inakua ngumu kidogo. Si unaona computerarsenal hata kubadilisha jina hawezi anajifanya anashabikia psg.
 
Hahahaahhhahaha. Tumpe mda.

Mimi nadhani huyu ndugu yetu bado ni mdogo ki umri so zile frustrations za arsenal bado hajazizoea. I remember kwenye miaka ya 2008 going backward nlikuwa naacha kila kitu wakati arsenal ikicheza.

Mpaka msikitini siendi on time aiseeee. Sasa ndio situation anaipitia computerarsenal
 
Lol eagerly waiting for the trip boss!! Ntafurahijeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸
Na sarakasi juu.

Hahahahaahahahah! Ntaenda then ntai-present.

Niliwahi kutaka kuandaa way back in 2017 au 2018, wakatokea wadau humu ila then walishindwa majority. Nkasafiri mwenyewe.

Am working something out and then ntaandaa lakini pia itashirikisha people from outside JF na group itakuwa na watu wasiozidi 10 tu. Tayari kuna watu nawajua na hela zao they want in.

Let's wait.
 
Ndio si nafurahia trip jamani wee unadhani kwenda trip na big boss ni mchezo mchezo tu hahaa! Namba 3 katika list 🙇!
 
Ndio si nafurahia trip jamani wee unadhani kwenda trip na big boss ni mchezo mchezo tu hahaa! Namba 3 katika list 🙇!
Hahahahahah! Usihadalike, this is just my passion na sio kwamba ni big boss.

Mimi ni mdundulizaji mwenye kuweza kukistahmilia kibubu. Just imagine naanza kuchanga now for a trip ya Oct/Nov 2022.
 
Hahahahahah! Usihadalike, this is just my passion na sio kwamba ni big boss.

Mimi ni mdundulizaji mwenye kuweza kukistahmilia kibubu. Just imagine naanza kuchanga now for a trip ya Oct/Nov 2022.
Wewe tena, nakujua vizuri !!!!!!!!!!!! Lol kote huko!!! Mi nkajua ya desemba 2021 jamani!!! Haya hiyohoyo naisubiria pia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…