Habari za asubuhi wana jf Jana sikulala nimekesha naongea na sister yangu yuko kwa Obama kwa nafasi yake kama dada kanishauri ila sijaridhia ushauri wake ingawa hajui pia. Ni hivi nina wanaume wa3, naowadate.najua ntapigwa mawe humu mweehhh hadi nijuteee but ukweli daima utabaki kuwa ukweli...