The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
ThanksPole
Kweli Mungu wetu ni wa huruma na RehemaUna bahati umewapata hao. Wengine wameishia kutozaa tena.
Mungu wetu ni wa Rehema na huruma
Kwani mie nilimwambia nataka anioe,angenionyesha ushirikiano huenda nisingepotoshwa kufanya niliyofanya,ingawa hilo halijustify niliyofanyalabda alikua hataki mwanke virgin
Ujana maji ya moto, kwenda kulala ndani ya nyumba ya headmaster wake tena kumlala bintiye sio kazi rahisi! Kichwa cha chini kikishika hatamu ni hatari sana hiyo.Jirani yangu kijana wake alifaulu kwenda form V ya bweni na ni ya wavulana watupu. Ni moja ya shule za vipaji inasifika sana.
Headmaster na familia yake wanaishi ndani ya shule. Headmaster ana binti mrembo anasoma form IV day.
Huyu mtoto wa jirani yangu sijui alimuimbisha nini yule binti, binti akawa anamuingiza chumbani kwake usiku. Siku moja saa kumi na moja asubuhi anakutana na headmaster kwenye corridor.
Kesi ilifika nyumbani, wazazi waliitwa. Yule headmaster alivyokuwa mkali hakutegemea kitendo kile kifanyike chini ya pua yake.
Huyu utakuwa ni ww tu huyu, baba yako alikusamehe kwa kumuingiza kiduke chumbani kwakoo au alikuadhibu? Malizia story[emoji1]Jirani yangu kijana wake alifaulu kwenda form V ya bweni na ni ya wavulana watupu. Ni moja ya shule za vipaji inasifika sana.
Headmaster na familia yake wanaishi ndani ya shule. Headmaster ana binti mrembo anasoma form IV day.
Huyu mtoto wa jirani yangu sijui alimuimbisha nini yule binti, binti akawa anamuingiza chumbani kwake usiku. Siku moja saa kumi na moja asubuhi anakutana na headmaster kwenye corridor.
Kesi ilifika nyumbani, wazazi waliitwa. Yule headmaster alivyokuwa mkali hakutegemea kitendo kile kifanyike chini ya pua yake.
No ikitokea wazae tu,kutoa mimba ni experience mbaya sanaUngewashauri na wadogo zako basi wafanyeje ikitokea wamezipa nafasi naivete, stupidity na youthfulness nafasi nao wakatiwa mimba kizembe na wanaume wasiojielewa.
Je wafanye kama wewe ulivyofanya alafu baadae walete confessions?
Ingependeza kama uzi wako ungeumalizia kwa ushauri ndio nilichokuwa namaanisha.No ikitokea wazae tu,kutoa mimba ni experience mbaya sana
Nina 10 years hili jambo linaumiza moyo
Mie nililelewa mazingira ya kidini sanaInawezekana mzazi au mlezi wako hakuwahi kukaa na wewe akakupa elimu kwa kina juu ya tahadhari za kuzingatia hasa unapokuwa umevunja ungo, hili jambo wazazi / walezi wengi tunafeli sana.
Mtoto /watoto wanapokua ni vema kukaa nao na kuwaelimisha kwa kina sana juu ya mabadiliko ya ukuaji wa miili yao na utendaji wa viungo vyao vya uzazi.
Unakuta mzazi / mlezi unaogopeka kwa watoto kiasi ambacho hawawezi hata kuelezea shida zao. Mathalani mtoto wa kike anapovunja ungo anafikia hatua ya kujificha na kuficha hali hiyo kwa hisia kwamba ataonekana hafai ( kuvunja ungo / kubalehe ) sio dhambi ni jambo la kawaida kwa binadamu.
Mzazi anafanya kukisia kisia tu kwamba bintiye au kijana wake kakomaa, matokeo yake anabaki tu kumwelezea maneno ya vitisho kama vile; ukikutana na mwanaume utapata mimba (how??????.....mfafanulie mtoto aelewe kila kitu kwa uwazi) au ukitembea na mwanaume wazazi wako wanakufa (really!!!!!...... seriously!!!!!!!......)
Wazazi na walezi tuseme na watoto, ikishindikana tutumie hata marafiki zetu tunaowaamini.
Ok nimekupata,thanksIngependeza kama uzi wako ungeumalizia kwa ushauri ndio nilichokuwa namaanisha.
Niliwahi kutana naye kwenye semina Arusha likataka leta mazoea,nikamwambia kama unataka nikudhalilishe jaribu hata kunisogelea,akaondoka akaenda ungana na wengine.Pole sana dada huyo mtoto amesikia kitubio chako na hatokuzuia kupita kwenye mlango wa paradiso
Na wanaume wa namna hiyo wako wachache sana ila huaribu wanawake wengi kwa maana wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi
RIP bazazi popote ulipo