Ni kweli aiseee!! Ukishapoteza kitu ndio unaona thamani yake.Duuuh huezi jua thamani ya kitu mpk ukipoteze by the way pole sana.
Badilisha na hilo jina lako kama ume confess kweli may be utapata atakayekupenda tena
TAke care mkuu,hii mambo hatar sana sheikh🙂Tatizo huyu mjaluo huwa najitahidi kumkwepa, na huwezi amini eti anajuta kuolewa mapema, sababu anaona hakumaliza ujana, ukizingatia mme wake ni mtu safari, kibaya zaidi mme wake hunisaidia baadhi ya mambo yangu nikiwa nimekwama daaah siku akijua anaweza nipulia kisogoni[emoji13] .
basi ukome ,, acha kumchepua mjaluo mfyuuuSamahani kwa kusubiri sana kama nilivyowaeleza mwanzo mimi sio muhadithiaji mzuri ila nitajitahidi……
…. Basi mwananaume kuzama uvinza , weeeh binti wa kinyakyusa alipiga kelele iliyoshtua mpaka majirani, kwani nilikuja baini hilo baadae. So ilinibidi nitumie ujuzi wa ziada, sitohitaji kueleza sana ila mwisho wa siku nilikata utepe, sikupenda kuendelea kwani alikuwa akidai anahisi maumivu kiunoni, nilimwacha apumzike coz kulikuwa na chakula ilibidi nimpatie huduma ya chakula na kumwandalia maji ya kuoga ya moto, akala kisha akaenda kuoga, nami nikatoka nikaoga chaap, huku kichwani nikipania kuliendeleza jeramba kwa namna yoyote ile.
Basi nimerudi toka kuoga nakuta bibie anawaza sana, nikamuuliza nini tatizo, akasema anawaza kama ametoa usichana wake kwa mtu sahihi, kwa kumfariji nikamuhakikishia asiwe na wasisiwasi na mimi, baada ya maongezi ya hapa na pale nikaanza kumchombeza tena kimahaba japo alikuwa kama hataki mwisho wa siku akaonesha ushirikiano, nikafanya yangu mpaka tunajifunika shuka ngoma iliisha 2-1[emoji39].Hapo kumbuka tangu nipo nae nimezima simu ili nisijee aribu madawa kwa mtoto wa kijaluo. Siku zikaenda chuo kikaendelea baada ya pasaka. Kazi nzito niliyokuwa nayo ni kutotaka kugonganisha magari kwani kuna mda anataka akapumzike geto, huku mjaluo anataka kuja geto, sitaki kuelezea nilichokuwa nafanya kuepuka hayo kwani sipo hapa kufundisha dhambi hiyo.
Siku moja nipo geto nakumbuka mtoto wa kijaluo bila kunipa taarifa akawa yupo mlangoni, basi kwa uchovu na bashasha za kinafki nikamkaribisha kwa mabusu, akapika mwenyewe kitu cha pilau bubu, wakati tunatia shavu si mnyakyusa kapiga nilikuwa nimemsave "ambwene" hilo ni jina ambalo nilikuwa nikimsave nikiwa na mjaluo, kwa machepere yake akapokea, haloo, haloooh simu ikakatwa, akaniuliza mbona huyu ambwene mwenyewe aongei huku nikiwa kama sielewi kumbe naelewa kuwa nimisha likoroga, ikaingia text "huyo ni nani aliyepokea simu" nikamjibu ni group member mwenzangu, sikujua kwa nini alinitumia hii message "siku nikijua unamwanamke mwingine ni siku ambayo sita kaa nimwamini mwanaume na ndio siku itakayo kuwa mwisho wa mahusiano yetu, plzz naomba uthamini kile nilichokupa, naomba uthamini penzi langu"nilivyomaliza kuisoma tu nikaifuta na kuzima simu , bila aibu baada ya kula nikavuta mjaluo tukafanya yetu.
Siku zikawa zinaenda huku nikicheza mchezo wa udanganyifu kwa binti huyu aliyenipenda kwa dhati, na kumbuka kuna siku aliniuliza mbona siku hizi sipendi tena kwenda ibada na wala simkumbushi tena jumamosi jioni kama ilivyo kawaida nikaishia kutoa visingizio debe.
Siku moja ijumaa nipo kipindi akanitext "wapenda weekend nikupikie chakula gani", nikamjibu chochote atakacho kipenda. Basi wakati natoka class gafla nakutana na mjaluo, akitaka from friday atakuwa kwangu mpaka jtatu na yy alikuwa na funguo za geto nikabaki na gigumizi , nikaanza toa visingizio ambavyo havikuzaa matunda alidai amemis sana kukaa mda mrefu na mimi, bila hiyana nikaacha nae na akaniambia jioni niende na matunda, basi mie huyo kwa washikaji nikawapa mchongo uo ili wanipe wazo niwezaje kupangua mtihani huo. Wengine wakanishauri nifanye juu chini mnyakyusa aamini nimepatw dharura ntaenda bagamoyo ili asipate wazo la kuja geto, nikaona hilo linaweza saidia , nikampigia mnyakyusa kumueleza hizo yaarifa za uongo kuwa kesho naweza kwenda bagamoyo kwq masuala ya mazingira, akaniuliza yy mbona kama member hana taarifa nikadai tumeambiwa viongozi tu, akakubali kishingo upande. Nikajiona nimewin mwenyewe kumbe ndio nilikuwa naandaa mazingira ya kuzika penzi langu na mnyakyuswa.
Nikarudi geto kama kawaida huwa nabadili cont. Name nikijua nitakuwa na mjaluo nafika geto, nakuta mtoto wa kijaluo amesha fanya mambo, piga msosi wa kutosha na kufanya yetu.
Ilikuwa jumamosi mchana nipo na mjaluo ndani tukiwa tunafanya yetu huku simu ipo off, katikati ya game nasikia mlango unagongwa, mweeeh kwanza ngoma ikalala mapigo ya moyo yakachange, nikajipiga taulo nafungua mlango nakuta binti wakinyakyusa ananiangalia huku kabeba mazaga zaga ya kupika, swali likanijia kichwani kwann kabeba vitu vya kupika wakati anajua sitokupo, huku jasho linanitoka kama muuza mishikaki, akanikabizi mfuko na kuzama ndani, daah sijai kuwa mdogo kama ile siku, anakutana na mjaluo yupo uchi tena uchi haswa, nilisikia kilio tu, mtoto akatoka nj'e huku akilia na kuniambia naona upo bagamoyo kwenye kikao cha mazingira , na kuondoka , nikiwa bado n'je sijui cha kufanya, mara mjaluo naye huyo amesha vaa kaniangalia juu, mpaka chini na msonyo wa haja. Kwa aibu nikaingia ndani ile nawasha simu tu nakutana na text ya jamaa mmoja ambaye ni member wa club ananiambia myakyusa wamekuta nae akamdanganya kuwa safari imehairishwa, mara text nyingine ya mnyakyusa inaingia "baby nimeambiwa mmehairisha safari nakuja kukupika chakula kitamu balaa" daaah kwa kweli nilijua nimelikoroga hasa.
Baada ya dakika kama tatu ivi inaingia text ya mjaluo "malaya mkubwa ww" huyu haikuniuma sana coz nilijua mda wowote naweza rudisha majeshi, mbaya ni text iliyokuja kutoka kwa mnyakyusa "naona umeshapata ulichokuwa unakitaka, umeujua mwili wangu nj'e ndani nimekupa mapenzi yangu yote kwa uwezo wangu nikiamini wewe ndio future hasband hakika Mungu atakulipa na sizani kama itakaa itokee mwanamke atakaye kupenda na kukuthamini kama mimi asante kwa yote uliyonifanyiaa Mungu akubariki na naomba leo iwe mwisho , nikisema mwisho na maanisha mwisho na kaa ukijua sitaa kaa nimwamini mwanaume kamwe hiyo yote ni sababu yako, ubarikiwe", jasho likinitoka to be honest iliniuma sana yaani sana nikaribu kupiga simu haikupokelewa mwishowe ikazima, weekend niliiona ndefu sana, wa kuniliwa alibakia castle lager za baridi tu. Kwa kweli nilijitahidi kwa uwezo wangu wote kumshawishi anisamehe mtoto hakuelewa, nikatumia mabest zake lakini hola. Mwisho wa siku nikakata tamaa. Kurudi kwa mjaluo yy akawa sitaki na taka, nikimdanganya kuwa yule demu alikuwa ananing'ang'ania tangu siku nyingi ila alikuwa hasikii, na siku ile nilimfanyia makusudi aje geto ili akute kuwa ni mpenzi wangu ambaye ni wewe toto zuri la kijaluo, kidogo mjaluo akijua ndivyo alivyokuwa akawa hana jinsi, akarudi kibindoni, ila kila nikikaa nafsi inanisuta sana kuhusu yule mnyakyusa.
Mpaka na andika hapa huwa najaribu kumuomba msamaha kakataa kamwe, huku kwa mjaluo yeye amesha olewa ila nikitaka mechi mda wowote huwa najipigia tu. Na kwa kweli tangu myakyusa wa watu nimuumize nazani alinipa laana sijui coz sijawi pendwa tena na mwanamke ikitokea natongoza, mapenzi yatanoga wiki mbili tatu then anakuja kugundua sijatulia, sijisifii ila naona hayo yote yametokana na nilichomfanyia mnyakyusa wa watu.
Ombi langu jamani mtu akikupenda usitumie kama weakness kwake kumuumiza.
Bado najutia sana niliyomfanyia, alinipenda sana, alinipa nachotaka mpaka kunipa thamani ya kukata utepe, daah sijui ni nini nilikosa, ila naamini ipo siku atanisameeh, na mpaka sasa hajaolewa na hataki kusikia ilo swala, mwanqume hata uende na gia gani , now anafanya kazi arusha na biashara zake, ila naamini kweli nilimkosea na nimetubu.
………… MWISHO……
Mbwembwe zote kumbe story mbaya hivoSamahani kwa kusubiri sana kama nilivyowaeleza mwanzo mimi sio muhadithiaji mzuri ila nitajitahidi……

Bora uimalizie wwLabda anaichapa kwenye ms word kwanza.
Asipoimalizia mpk saa 2 usiku leo, mi nitaimalizia.
Embe leta yako nzuri tuzidi kupoteza muda.Mbwembwe zote kumbe story mbaya hivo
Embe leta[emoji15] [emoji15]Embe leta yako nzuri tuzidi kupoteza muda.
hya banaKajaluo katamu "easy to carry"[emoji12]mimi nakakimbia kanajileta tukumbushie ya chuo.
Hahahahahah mkuu ungepotezea hatamalizia story sasaaAHAHAHHAHAH....true kicheko to be continue...
Natafuta kazi hasa ya udereva
hivi NIT udereva miaka mingapi mkuu
mfyuuuu nakusubiria
KANIWEKA MDA MREFU SANA KUSUBIRIA LOHhahahahaha, mfyuuu wa nini wakti unapenda story