My best shot...onyesha yako...

My best shot...onyesha yako...

Halafu kuna mtu alinikoroga humu........alitumia avatar yako nikashindwa kujua ni wewe au.......na kuna kitu cha muhimu sana nilikua nataka nikueleze siku hiyo............

Weeee....na huyo mtu ukamweleza hicho kitu....ila bora kama hukumpa hicho kitu....ni nana hiyo anataka kupatia neema kwa mgongo wangu...ashindweeee
 
Weeee....na huyo mtu ukamweleza hicho kitu....ila bora kama hukumpa hicho kitu....ni nana hiyo anataka kupatia neema kwa mgongo wangu...ashindweeee

Sikumueleza........nilimshtukia......nikajua lazima atakuwa mamluki kwa aina yoyote ile.......hakukuwa na namna.......
 
My best short ever!!!
Cc Preta
 

Attachments

  • 1444813215700.jpg
    1444813215700.jpg
    39.5 KB · Views: 119
Last edited by a moderator:
kama nilikuona porini siku hiyo.........kumbeeeeeee...........

Ha ha haaa pale uliponikuta nikiwa nimechutama nilikuwa nachimba dawa,simba mtoto wa mama,angu mkubwa kila siku naonana naye mtaani kwetu!
 
Umsimnononez mpe ya moyoni. Usidanganyike kwa picha ya kupigwa gazetini. Huyu sijui kama anajua hata jikoni wanawake wanakaa je?
Kwanini unamuhukumu kiasi hicho?

Usiende mbali ndugu.

Mimi na yeye huwa kuna wakati tunacheza, kwahiyo ananielewa vizuri na mimi namuelewa vizuri sana.

Au mazee uliingizia?

Halafu mtoto akakuchomolea!

Hebu nipe umbea kidogo
 
Back
Top Bottom