my best friend wife! why are you doing this to me????

my best friend wife! why are you doing this to me????

Punguza misafara ya kwa nyumbani kwa rafiki yako, nenda ikiwa lazima na jaribu kuonana nae njee sana kuliko kwenda kwake,huyo mwanamke hata akiwepo usimpe time yako sana baada ya salama basi,pendelea sana kuchukua mpenzi wako nyumbani kwake au popote yy huyo asokua na haya akiwepo..
 
Labda ana mimba na hiyo mimba yake imekupenda wewe.....
 
wadau, habari za mujini???????

i hope wote mmeshapata breakfast! kama kuna ambaye hajaridhika ani-pm nimtafute kwa m-pesa!!

ok, mi suala ambalo limenileta hapa mbele yenu ni kuhusu huyu shemeji yangu, mke wa rafiki yangu mpendwa!

nimefahamiana nae kwa muda mfupi tu!! sina hata mwezi toka tujuane kwa majina na sura!! cha ajabu ni hili suala ambalo kaliibua bila jamaa yangu kujua!!

huyu binti nahisi ana hisia fulani za kunitaka kimapenzi, kitu ambacho mi sihitaji wala sina mpango wa kumfanyia rafiki yangu mpenzi!!

bi dada huyu, kila anaponiona, hasa ninapokuwa peke yangu, basi atanionesha trademarks za kimahaba haba kila wakati, mi mwenzenu hisia zangu ziko karibu sana!!! nimeshajaribu kumuonya lakini wapi!!!

nikiwa na mumewe, anajifanya mlokole sana tu!! anasalimia kwa heshima sana, lakini besti yangu akishampa mgongo tu, yani kama sinema, anaanza!!! tena siku hizi mwenzenu napuliziwa mabusu!! kama ----- vile, nahisi kusisimka vibaya! nakamatwa na kizunguzungu!!

nimeshaapa kutomwambia besti yangu, jamani ndoa hii itafika wapi endapo sitasema ukweli kwa jamaa?? huyu binti si atanimaliza kwa mitego?
1457641_542306029194081_411277167_n.jpg


(Hii ni image tu inayowakilisha!! haina uhusiano wowote na mke wa rafiki yangu!!)


Huna lolote wewe pia unamtaka huyo shemeji yako nauache ku-justify uzinzi wako, na pengine wewe ndio unaanzisha hivyo vitendo, coz kama ni rafiki yako kwanini usimwambie mapema kabla mambo hayaja haribika? unasubiri siku akukute naye kitandani ndio umwambie? siku akikusingizia umetaka kumbaka? Mimi niko radhi kumsamehe mtu aliyetembea na mke wangu kama mimi nayeye hatujuani lakini mtu kama wewe ambaye ni rafiki yangu na unamjua vizuri shemeji yako nakutoboatoboa na waya wa mshikaki mpaka ukome.
 
Back
Top Bottom