klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hii story imenishangaza kitu kimoja, hivi huyo mume wako wewe kipindi chote hicho ameruhusu hiyo boundless friendship yako wewe na hilo jibaba? yaani unaletewa vizawadi na mnaonana kila siku? usiku unampigia akuje kukusaidia, khaaaa! nazani hii ndoa yako inahitaji msaada kabla hii ndoa ya rafiki yako.Mimi nina best frend wangu sanasana ni mwanaume na mimi ni mwanamke. ni rafiki yangu wa siku nyingi kiasi kwamba ndugu zangu wote wanamjua na mume wangu anamjua na wanapatana sana sometime tunatoka wote out sometimes tunafanya nyama choma kwake au kwangu tunaita rafiki zetu wengine tunakunywa pombe na kufurahi pamoja.
Kwa urafiki huo utakuta kila anachofanya lazima ataniambia, akiwa na mwanamke mpya ataniambia akiwa anataka kununua kiwanja tutaenda wote nimpe ushauri akitaka kubadili gari lazima atanishirikisha hata picha atanitumia nione ili nimshauri kama ni zuri au baya. Ikiwa bday yangu ni yeye atakumbuka na kuniletea zawadi hata kama mume amesahau, na sikukuu zingine pia, akisafiri lazima aje na zawadi yangu pia.
Kwa urafiki wetu ulivyo hata nikipata tatizo labda usiku nimeharibikiwa na gari nitampigia yeye simu aje kunisaidia, nikiwa na matatizo na mume wangu yanayosumulika huwa namwambia anipe ushauri, hata kuna kipindi tuko safarini mtoto aliumwa ni yeye tulimuomba ampeleke hospital. naeleza yote haya ili muelewe ni rafiki wa aina gani ili iwe rahisi kunishauri badae.
Rafiki yangu huyu ni playboy fulani hivi anapenda sana wanawake ,kila mara ana dem mpya nimempigia kelele sana mpaka mwaka juzi nikamuunganisha na msichana mmoja hivi,alikuwa nje kimasomo ni ndugu wa rafiki yangu mwingine, badae mwaka jana wakafunga ndoa. yule dem alikuwa ananipenda sana wakigombana nitawasuluhisha na mambo mengine.
Tatizo lililojitokeza sasa hivi mwanamke ananichukia sana nahisi ni sababu rafiki yangu ananijali sana kiasi hata mimi mwenyewe ningekuwa mke wa rafiki yangu ningesikia kawivu flani hivi. Sasa rafiki yangu kanambia wanagombana sana na mkewe kuhusu mimi kwa nini nilimtafutia mke ambae haelewi uhusiano wetu?Kanambia anampenda sana mkewe ila pia ana value urafiki wetu cause tupo kama ndugu.
Pia Kanambia nimwite nimueleweshe sasa mnafikiri nikimwita atanielewa? na nikimwita nimwambie nini? ni vizuri nimwite nikiwa na mume wangu? Mimi nimemwambia rafiki ndoa yake ni muhimu zaidi kuliko mimi rafiki tuwe tunaonana kwenye mambo ya muhimu kama sherehe msiba na kadhalika mnafikiri huu ushauri ni mzuri? Naomba ushauri wanajamvi am about to loose my very best friend
naomba kuwakilisha
ila huo urafiki wenu umezidi bana... lool
kinachomsumbua huyo dada ni wivu wa kawaida kabisa its just human instincts hata kama huna uhusiano wa hivyo na huyo jamaa ye atapata wivu fulani tu wala sishangai its involuntary
hii story imenishangaza kitu kimoja, hivi huyo mume wako wewe kipindi chote hicho ameruhusu hiyo boundless friendship yako wewe na hilo jibaba? yaani unaletewa vizawadi na mnaonana kila siku? usiku unampigia akuje kukusaidia, khaaaa! nazani hii ndoa yako inahitaji msaada kabla hii ndoa ya rafiki yako.
Gaga your husband should be your best friend na si ntu mwingine. ukishaingia kwenye ndoa achana na u best na watu wengine, unayumbisha ndoa ya mwenzio kitu ambacho si kizuri
hii story imenishangaza kitu kimoja, hivi huyo mume wako wewe kipindi chote hicho ameruhusu hiyo boundless friendship yako wewe na hilo jibaba? yaani unaletewa vizawadi na mnaonana kila siku? usiku unampigia akuje kukusaidia, khaaaa! nazani hii ndoa yako inahitaji msaada kabla hii ndoa ya rafiki yako.
No no no no, nimegundua wewe Gaga ni mnyanyasaji, yaani unamnyanyasa mme wako kwa sababu ya katatizo kale ka kushindwa ko-do for about four yrs now, unajua kabisa kuwa hawezi kukujia juu wewe kuwa close na wanaume wengine kwa sababu ya tatizo lake. Naamini kabisa asingekuwa na lile tatizo ulilotuambia kwenye thread fulani asingekubali wewe kuwa na urafiki wa karibu na man mwingine katu.
Unasema sasa amekuwa mpolee, pengeni ni unyonge ya vile unavyofanya. Saidiana na mme wako kulitatua lile tatizo bila kujenga mazingira ya kumsononesha moyo wake(yawezakana ukawa hujui kuwa unamsononesha). Na Mungu awasaidie.
Chapa kumbuka nipo about 16 years in marriage na tatizo la mume ni miaka minne tu iliyopita na nipo na rafiki yangu huyo about 20 years yaani wakati nina miaka 14 15 hv huoni kwmba mume alitukuta na akaelewa tena wala hajaona ni ishu kuwa na huyo rafiki kwa hiyo kusema namnyanyasa haiwezekani labda yeye ndio anaeninyanyasa kwa sasa. Pia huyu rafiki yangu na yeye amekuwa kama rafiki na mume wangu mara nyingi huwa wanakuwa pamoja hata kama mimi sipoNo no no no, nimegundua wewe Gaga ni mnyanyasaji, yaani unamnyanyasa mme wako kwa sababu ya katatizo kale ka kushindwa ko-do for about four yrs now, unajua kabisa kuwa hawezi kukujia juu wewe kuwa close na wanaume wengine kwa sababu ya tatizo lake.
Chapa kumbuka nipo about 16 years in marriage na tatizo la mume ni miaka minne tu iliyopita na nipo na rafiki yangu huyo about 20 years yaani wakati nina miaka 14 15 hv huoni kwmba mume alitukuta na akaelewa tena wala hajaona ni ishu kuwa na huyo rafiki kwa hiyo kusema namnyanyasa haiwezekani labda yeye ndio anaeninyanyasa kwa sasa. Pia huyu rafiki yangu na yeye amekuwa kama rafiki na mume wangu mara nyingi huwa wanakuwa pamoja hata kama mimi sipo
Unasema sasa amekuwa mpolee, pengeni ni unyonge ya vile unavyofanya. Saidiana na mme wako kulitatua lile tatizo bila kujenga mazingira ya kumsononesha moyo wake(yawezakana ukawa hujui kuwa unamsononesha). Na Mungu awasaidie.
mumewe ana tatizo gani? Mbona nje anachapa kama kawaida!! Ni yeye tu ndo anayeshindwa kumfanya! Ndo maana hii story haijatulia! Huo urafiki wako na huyo mwanaume ulishamharibu kisaikolojia mme wako. Sasa inaenda kumharibia mwenzio. game over...
Habari yako Gaga,unaendeleaje kwanza na ile ishu iliyopita????
Nafikiri kulipaswa kuwe na mipaka kati yako na huyo kaka baada ya yeye kuoa.....yes nyie ni ma-best friend lakini,wote tuna wivu na tuwapendao na hatupendi ku-share attention na wanawake wenzetu kwa mwanaume tunayempenda,kumtunza na kumjali sana......
Usiwe kikwazo cha ndoa ya watu kwa ku-value sana u-best friend wenu,have some boundaries,it takes two kuwa katika strong bond kama uliyo nayo wewe na huyo kaka,nakushauri keep a distance,waache wawe na sababu nyingine ya kutofautiana na sio wewe.....kama ni rafiki wa kweli huyo kaka ataheshimu mawazo yako kwakuwa una roho safi na unawatakia mema......
Muite huyo msichana uzungumze nae na si vibaya mumewe na muwe wako wakawepo mkaweka mambo wazi na si kwa staili ya kusutana just kueleweshana......all the best!!:coffee:
Lady Gaga itabidi upunguze urafiki wako na huyo rafiki yako ili unusuru ndoa ya mwenzio
Kwa vile wewe una kwako na mmeo na maisha yako endelea na family yako
Urafiki wenu uwe wa kawaida kabisa ,vizawadi na mazoea mangine ya karibu punguzeni,
Katika hali ya kawaida yule mwanamke mwingine anashindwa kuamini labda mko karibu saaaaaaaaaaaaana