First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
bado tu kunyoosha mkono kuzima taa akiwa kitandani...
bado tu kunyoosha mkono kuzima taa akiwa kitandani...
bado tu kunyoosha mkono kuzima taa akiwa kitandani...
Spyware.She is stalking you ,amenunua spyware card ame install Kwenye Simu yako kwa hiyo anachofanya anaingia Kwenye website ya hiyo spyware anaona kila kitu Simu ,text message ,email na picha na GPS .Google spyware utaona company zote .mie nawafanyia wanangu I know everythingI have decided to use that name cuz of some sweet feelings of love kwake and sometimes namchukulia kama mtoto the way navomcare!
Anyway, thats nt big problem, she makes me crazzy na utu uzima wangu, she used to knw nachofanya hata nikiwa mbali nae, anajua alienipigia, simu iko mezani lakini anauliza "aliekupigia simu namba yake inaishia na 50120 e?" Namwuliza umejuaje anaishia kuchekacheka tu, yuko nyumbani ananiambia "naona uko mjini bhana na hatuambiani" Kumbuka cjamuaga! And it had happened several times! Atafanya vimbwenga, nachukua uamuzi wa kumwacha, akipiga tu najikuta sina msimamo (na sio kawaida yangu). She is strange! Nawaza kumwacha kimyakimya, ananipigia, "hey hubby kwa nin unaniwazia mawazo mabaya hivyo? Haki ya mungu ukiniacha utanitambua!" mamaaa, what kind of chick is this?
Nina wasiwasi nikawa miongoni mwa waliopata historia.
Jaribu kulala na mfupa wa ngurue uone itakuwaje?? nasikia eti ni sumu ya viumbe wa namna hiyo
Spyware.She is stalking you ,amenunua spyware card ame install Kwenye Simu yako kwa hiyo anachofanya anaingia Kwenye website ya hiyo spyware anaona kila kitu Simu ,text message ,email na picha na GPS .Google spyware utaona company zote .mie nawafanyia wanangu I know everything
E spy software is really good hiyo mpaka ana turn on camera Kwenye Simu nakuona everything unachofanya .Good luck
Dah hii kali. Kimbia mkuu
bado tu kunyoosha mkono kuzima taa akiwa kitandani...
hahahahaha sipati picha