My 2013 resolution ni Kuoa.

My 2013 resolution ni Kuoa.

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,946
Reaction score
5,382
Inshallah mwenyezi mungu akileta rehma na kheri yake. Mwaka ujao 2013 dhamira yangu ni kuvuta jiko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hongera braza kwa kuweka dhamira.
sisi bado tunachagua, bado hatujaona!
mpo wapi wadada wa ukweli?:glasses-nerdy:
 
Inshallah, mwenyezi mungu akupe mwenye kheir na wewe..
 
Tupo pamoja mkuu... 2013 mwaka wa kucheza harusi na kuanzisha familia..
 
Inshallah mwenyezi mungu akileta rehma na kheri yake. Mwaka ujao 2013 dhamira yangu ni kuvuta jiko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hongera mkuu. Utapitisha bakuli au kila kitu ni juu yako?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hongera sana na Mungu amekusikia, atafanya sawasawa na haja ya moyo wako.
 
Naanza kutayaarisha CV yangu, naituma on 1/1/2013...... adakiss23
 
Last edited by a moderator:
Hongera Mkuu kwa kuwa na mawazo hayo Mwenyeezi mungu atakujalia inshallah!
 
I hope you are 30s.Wish you all the best,Still Pray to God,hawa viumbe hawa,ni kuwaweka mikononi mwa God tu mpaka dk ya mwisho....
 
Does he have to be above 30yrs?
yeah man, how comes you don't know that? 30 is when the man is matured enough to handle frustrations of marriage, and be more responsible and of course its the good year to settle after enjoying yourself with all the bimbos.
 
Hongera sana afu usifanye haraka chagua taratibu kabla ya mwisho wa 2013 ndo uowe yani 31/12/2013.

Mana ukienda pupa pupa unaweza kukutana nawalio shona bikra mara 50 shauri yako :biggrin1:

Kila la kheri brother, Mungu atajalia utapata mke aliye kuwa mzuri ana kuheshimu wewe, wazazi wako na ndugu zako :A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom