Mwongozo kwa Balozi yeyote atakayeitwa kwenye mjadala na Tundu Lissu

Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!
Balozi kipindi alitaka kukigeuza kuwa cha mipasho
 

We kumbe kumbukumbu huna kbs ivi ukumbuki amesema kabs au ndo lugha hata version ya kiswahili ujawahi ckia nn eneo analokaa linaulinzi zaidi kuliko hata ivo vituo vya polisi vyote sasa we uliona sehem gani salama zaid ya hiyo kwan masilingi akufikilia hayo we ndo umeona unaujuzi zaid ya wengine we kama mahakaman ushafungwa hadi saa hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Upo sahihi mkuu, huhitaji taaluma ya juu kujua hii issue ipoje, akili ya kawaida tu, kama marndeleo hayana chama je wabunge walishindwaje kumtembelea mwenzao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…