Mwonekano wa Lulu sasa

Mwonekano wa Lulu sasa

ena!za kunyumba!

Za bwina. lakini mboni te wa kuperamihu mbungi witu nanihinu uyu yani naniiiiii Jenister Mhagama wa kuparangu. kwa akiba tu ne nihuma Kulundusi balapala pa Mngongoma
 
toto limezidi kupendeza mmh

Wengi bado hatujajua kwamba ukowa na mazoea ya ngono za mara kwa mara ni sawa na mwanamichezo ambaye anafanya mazoezi ya kukimbia mail saba kila akifunga goli. Usishangae kukaa gerezani kunanenepesha wengi. Tatizo ni magereza yetu ambayo yako na huduma duni, lakini magereza ya nchi zilizoendelea kuna lishe ya hakika ujue anatoka mtu gerezani mnapishana njiani ukifikiria ni mwingine mpaka akushtue.

Ngono huchosha na huweza kukondesha mtu.
 
Uonevu tu Mungu yupo huyu mtoto atatoka tu,kanumba mshenzi sana kambaka mtoto wa watu kwa kumdanganya na vijisenti go to hell Kanumba jamani hebu fikirieni Elizabeth angekuwa dada yenu/mdogo wenu halafu afanyiwe vile kwa kutumia umaskini mngefanyanye......?

Kosa ni kosa, haijalishi una sura ya nyani au ya malaika, kinachoangaliwa umefanya kitendo unachotuhumiwa au la. Naona wengi wameegemea kwenye uzuri wa mtu bila kuangalia mazingira ya kifo cha Kanumba ambacho huyu mtuhumiwa alikutwa humo. Kwa vyo vyote haki inatakiwa itendeke atoe yaliyojilia kwa vile anajua, kama anaficha lakin hawazi kukwepa adhabu ya Mungu kwani kwa Mungu hakuna kuanalia sura ila haki tupu.
 
Kama ni hivyo basi nakubaliana nawe kwani yeye alikuwa ndani na ss bado anasota nyuma ya nondo so swali ni je Kina Kamuhanda na wale Police wengine waliokuwa wanashuhudia kuuawa kwa mwandishi Mwangosi wako wapi?Je kwa kuwa wameshuhudia kipigo na kifo na pia walimshambulia kwa marungu wakati kamanda mwenye madaraka ya kusto ile habari yupo so kwa nini wao wasiwe kama Elizabeth Michael(Lulu) kwa kuwa wao pia ni wauaji?Tunavyosema uonevu ndio wengine muelewe kuwa sheria ziko kwa maskini tu na watu wa chini kwa Tanzania kubali au kataa utajiju
Vijana wawili waliuawa pale Arusha wakituhumiwa ni majambazi na walikuwa wanataka kupora na mwishowa yote Mkuu wa mkoa kipindi kile Isidori Shirima kaunda kamati na kamati iliona hawakuwa majambazi na wala hawana history ya ujambazi lkn hivi leo wale wauaji wamepandishwa vyeo na hakuna any kind of rest so ndio maana nasema ni uonevu,kama vipi basi wafanye fast kuliko kuweka watu mahabusu for more than 6 to 7 yrs bila sababu zozote.Serikali hii na chama chake wamepooza na wale wanaowaunga mkono pia ni wafu
 
Back
Top Bottom