mr gentleman
Katoa sura ka kamuona domo kapita ukisikia domo kamchamba wema IS kaanza kujipigisha mipicha ya hasara si unamchumba wewe baba mkwe a naona mapaja au ndio kidigital
mbona yupo kama kabati...ila mtoto wema pamoja na kujiharibu kote bado anavutia kinomanoma...basi tu uswahili mwingi umemponza ila ilikua awe bonge la demu..mi kwa kweli roho yang anaikoshaga sana..