Weza Senior Member Joined Oct 24, 2013 Posts 118 Reaction score 78 Oct 25, 2013 #1 Habari wadau, nina swali kwanini Suit hua haziwapendezi wanaume wafupi na wanaume wenye vitambi? Au mimi ndo huona vibaya, nyie wenzangu mnaonaje hili
Habari wadau, nina swali kwanini Suit hua haziwapendezi wanaume wafupi na wanaume wenye vitambi? Au mimi ndo huona vibaya, nyie wenzangu mnaonaje hili
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Oct 25, 2013 #2 Unajua hili jukwaa linahusu nini?