Mwl wa kuhack!

PACHOTO

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
1,321
970
kama kuna mtu anaweza kunifundisha namna ya kuhack (lengo langu niwe hacker) kwa muda wa mwezi mmoja nikafahamu vizuri tafadhari ni pm, ujuzi wangu kwa upande wa kompyuta ni just office applications
 
Mwezi mmoja? Unatania wewe
 
vip mkuu mwezi mmoja ni muda mfupi sana? maana tatizo kwangu ni nafasi mi ni mwajiriwa so nataka kipindi cha likizo ndo nijifunz
 
Mkuu programming hauwezi ukasoma mwezi mmoja ukaielewa labda uwe na kipaji maalum
 
Back
Top Bottom