Mwl.RCT nini kimekukuta? Mbona kimya, uko salama?

Kitondo

Member
Jul 10, 2019
62
145
Wakuu amani iwe nanyi. Huyo mdau nlie mtaja hapo juu natumai wengi wenu mnamjua. Ni msaada mkubwa kweli hasa kwa sisi wakununua ama kufanya malipo abroad. Ni mtu mwaminifu kupitiliza na aliye tayari kupoteza muda wake ili mradi tu lile hitajio lako litimie. Nmekuwa namtafuta kwa njia nyingi lakini hapatikani. Ndugu zangu, je huyu jamaa yuko salama?

Kama kuna mwenye kujua lolote naomba atujuze. Na pia kwa aliye karibu naye amwambie tumemkosa sana.

Wassalaam.
 
Nmekuwa namtafuta kwa njia nyingi lakini hapatikani.
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @MwlRCT

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.

Au niandikie hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
 
Safi kabisa, hongera sana
 
Hahahaha!!!mkuu umejitekenya
Huwa naona post, instantly, kupitia Push Notification kwenye PC yangu, kwa baadhi ya majukwaa hapa JF.

Ukiangalia posting time ya mdau hapo juu na mimi tofauti ni dakika 1.
1585996576365.png

Muda mwingi niko kwenye PC online.

- Waweza piga simu/ tuma ujumbe nikachelewa kujibu.

- Lakini ukitumia JamiiForums, Whatsapp au Telegram basi ni instantly najibu ujumbe wako. Hivyo njia rahisi ya knipata ni kutumia hizi App tatu: JamiiForums, Whatsapp, telegram

Karibu
 
Unaweza kushika namba za viatu mkuu(kidding) . Bado Sijakutest, Mwl.RCT nishawahi kumtest nikajiridhisha na uaminifu wake
Kwenye uaminifu hapo hakuna shaka mi nishafanya nae biashara zaidi ya mara moja, na hapa jukwaani ameshanisaidia vingi, jamaa anatuzidi sana kwenye issue za IT hasa kwenye jukwaa la tech, sikumoja aje atupe japo tu uzoefu alionao ama elimu aliyonayo maana naona ni tofauti na wenzangu na sie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom