HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Kwahiyo nikienda kukanyaga mafuta na maji ndo nitakuwa na akili.... Acha nibaki na ujinga wangu..... Ila huyo Mungu mnae fundishwa neno lake huko mtafakarini sana.....Tatizo we mbishi sana. Afu sikua najua kama wewe ni Muha wa Kigoma!
....watu wengi kule wanafata maombi maalumu ya uponyaji na shuhuda za miujiza, akifanikiwa anahamia mazima.....ila wakikwama wengi hurudi kwenye makanisa yao....Ukiona wachungaji sijui manabii wanasemana sababu kuu ni sadaka ila kila mtu na imani yake bwana mwakasege namkubali sanaa na mwamposa pia ila kusali kanisa langu kkkt siachi
Kweli ipi sasa? Itukanayo na Neno? Au itokayo kwà Mungu?Na huduma ya yesu walilipa kiasi gani??
Kama umeamua kumpromote mtu wako na miujiza yake tafuta namna nyingine..... Yeye tayari ana watu sasa kingine nini mnataka .
Mimi natafuta kuifahamu kweli.
Sasa ulichokileta hapa ni nini?Hebu leta ushahidi wa kitu ulichokisema hapo juu,weka video au audio.Mimi nafuatilia mafundisho ya Watumishi wote wawili kwa nyakati tofauti sijawahi kusikia haya unayosema,Unaonyesha hutumii busara katika Ukristo wako zaidi unauabisha tuWatumishi wa Mungu hawaoneanagi miwivu ya sadaka, au miwivu ya kufukuziana kondoo.
Assignment huwa ni Moja tu...kuchunga kondoo na kuhakikisha zote zinafika kwenye the same future.
fata miujiza ya mwamposa inakufaa zaidi mengine achana nayo.....Kweli ipi sasa? Itukanayo na Neno? Au itokayo kwà Mungu?
Na ipi Kati ya hizo unadhani inaweza kukuweka huru?
Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )Kwahiyo nikienda kukanyaga mafuta na maji ndo nitakuwa na akili.... Acha nibaki na ujinga wangu..... Ila huyo Mungu mnae fundishwa neno lake huko mtafakarini sana.....
Aliyasema maneno hayo dakika za mwisho wakati wa kumalizia mkutano wake ...kabla hajaanza kuomba sadaka. I was so amazed! Nikabaki kushangaa kwanini kaongelea mambo ya keki....afu baada ya hapo akaelekea dar kufungua mkutano mwingine pale kawe.Sasa ulichokileta hapa ni nini?Hebu leta ushahidi wa kitu ulichokisema hapo juu,weka video au audio.Mimi nafuatilia mafundisho ya Watumishi wote wawili kwa nyakati tofauti sijawahi kusikia haya unayosema,Unaonyesha hutumii busara katika Ukristo wako zaidi unauabisha tu
Same.🙏🏽 Nashukuru kwa maneno yake na vitabuAposto kuna muujiza huku..!!
Anyway namkubali sana Mwalimu Mwakasege,masomo yake yamenivusha pakubwa. Hayo mengine sijui kwa kweli.
Kitu ambacho unachanganya ni kimoja,mwakasege ni mwinjilist yani ni mwalimu,anafundisha neno la Mungu kwa watu na waelewe na walifanyie kazi kisha Mungu atatenda kadri ya walivyolipokea.Nini kimetokea?
Sikia mtu wangu...Neno la Mungu ni kama upanga...kama kweli limo ndani ya mtu na likamtoka kwenye kinywa chake...lazima kitendeke kitu...ishara, miujiza, maajabu lazima vitokee....sio makelele tu!
Weka Ushahidi usilete maneno matupu,tuambie ilikuwa tarehe ngapi na wapi?weka link,video au audio tuoneAliyasema maneno hayo dakika za mwisho wakati wa kumalizia mkutano wake ...kabla hajaanza kuomba sadaka. I was so amazed! Nikabaki kushangaa kwanini kaongelea mambo ya keki....afu baada ya hapo akaelekea dar kufungua mkutano mwingine pale kawe.
Sasa sindo uliko chagua kuwepo huko? Kimeharibika kipi... Endelea kufatilia kile unacho kiamini ila kumchafua mwingine na kumkweza mwingine acha.Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )
Mwakasege yeye anafundisha kweli ya Neno ( History )
And remember, experience is the best teacher.
Sijabisha....lakini ukweli ni kwamba ukweli uliomo kwenye Neno la Mungu hauwezi kamwe kukuweka huru..., Ukweli unaoweza kukuweka huru ni ule utokao kwà Mungu mwenyewe live...., Sio ule wa kwenye kitabu chake...Unalinganisha vitu viwili tofauti. Mwakasege ni mwalimu wa neno la Mungu hiyo ndiyo huduma yake na jina la huduma hiyo ni MANA. Mwamposa ana huduma ya kitume na jina la huduma yake ni INUKA UANGAZE. Hawa wawili wana watu wao wa kuwalinganisha.
Ebu sema alimpondaje ?Nilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.
Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Hili neno "AYAYAYA" Lipo na maana ganiHahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Hata mwamposa hana kanisa wala waumini wengi wale wapo tuitionEbu sema alimpondaje ?
Nb mwakasege hana waumini na hana kanisa,ukiona mkutano wake jua amealikwa,kaitwa,au semina
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfahamu mwakasege na huduma zake?mwakasege ni mumini kama wewe tu,hana kanisaWote wapigaji tu,wambie wafanye hayo mahubiri bila sadaka uone kama watafanya. Pesa ndo inawamotivate.
Juu kasema aliacha kufatilia muda mrefu hapa kasema juzi ndo akaenda dar kwa semina nyingine.... Mara zingine hata ukiamua kuwa chawa akili zako tumia piaEbu sema alimpondaje ?
Nb mwakasege hana waumini na hana kanisa,ukiona mkutano wake jua amealikwa,kaitwa,au semina
Sent using Jamii Forums mobile app