mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 732
- 1,062
Mi huwa na shangaa watu akisema ubatizo wa maji mengi ndio sahihi.. Wetu sisi wa kwenye vikarai feki, sijui imeandikwa wapi.? 😁 😁... Unajua Kuna wakristo hatutaki kujifunza neno na kuuliza Roho Mtakatifu what is right, Bali tunashikilia mapokeo ya waasisi wa dhehebu... Mara ohh.. Yule aliambiwa Siku ya kuabudu jmosi, huyu anasema maji mengi ndio ubatizo alafu wote wanaitwa wa wakristo... Wakati Yesu Kristo alie msingi wa Imani haongelea popote katika mafundiaho yake... Acheni kushadadia dhehebu...hakuna dhehebu linamuhakikishia mtu Mbingu... Ni Yesu Kristo pekee alie njia kweli... Dhehebu ni kama vyam a vya siasa... Bali amwaminie Yesu na kushika neno lake huyo ndio mwana wa Mungu....na ndie atamwona Mungu Siku ilee🙏Yani ukibatizwa na maji mengi ndio unakuwa umeokoka?