Mwl. Mwakasege: Vijana epukeni kujibizana kwenye Social Media

Umejuaje kuwa ni Kundalini spirit?
Cause nina Nuru Halisi yenye Mwanga mkamilifu
0-1.jpg
 
Hebu elezea
Siwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi. Kiufupi hiyo ni initiation ambayo hata Cults/ Occult groups wanaifanya sana...

Na ndio maana most of the churches thesedays are like cults....I mean, kuingia inakua rahisi but kutokamo inakua ngumu. Mtu anakua kama kapigwa limbwata hivi. Ukijaribu kumsema Mchungaji wake unaweza kushangaa akachukua hata kisu akakuchoma.
 
We mwaga, maana imeandikwa usipomwambia mtu mbaya makosa yake, Bwana atadai damu yake kwako akifa bila kutubu na wakati wa kumwambia yupo na hakusema.
 
Haya niambie Mimi niliyekuuliza.
Umeongea issue ya Damu kuwa nisipo mwambia muhusika , Damu yake itanililia.

Ndugu , sio Damu tu, bali hata nyama yake vyote vinaweza kunililia.

Kiufupi, nimeandika thread 2 kuhusu Yeye, na zote ni kama warning tu kwake...cause it is written ...warn a person twice..thereafter leave him/her for God's wrath to take

UKRISTO ni both damu na Nyama. Vita yetu sio ya Damu na Nyama (for that purpose)
 
Umeongea issue ya Damu kuwa nisipo mwambia muhusika , Damu yake itanililia.

Ndugu , sio Damu tu, bali hata nyama yake vyote vinaweza kunililia.

Kiufupi, nimeandika thread 2 kuhusu Yeye, na zote ni kama warning tu kwake...cause it is written ...warn a person twice..thereafter leave him/her for God's wrath to take

UKRISTO ni both damu na Nyama. Vita yetu sio ya Damu na Nyama (for that purpose)View attachment 2595007
Sawa mkuu nimekuelewa ila nilitaka kujua huyu Kundalini ni nani, na alianzaje kusambazwa kwa watu. Je ni Azusa Revival au ni ipi?
 
Sawa mkuu nimekuelewa ila nilitaka kujua huyu Kundalini ni nani, na alianzaje kusambazwa kwa watu. Je ni Azusa Revival au ni ipi?
Source yake ipo kwenye .... Leviathan & Rehoboth ,..those are the two ancient great serpents ambao Kazi yao ni kukaa kwenye migongo na vitovu vya watu.

Hayo ni majoka ambayo yaliwasumbua na yanaendelea kuwasumbua mpaka hivi sasa , watumishi wengi wa Mungu akiwemo AYUBU.

Note: Inasemekana Moja Kati ya majoka hayo ndilo lililomdanganya Eva pale bustanini

#Kundalini ni kama female Energy ambayo inapatikana kwenye mgongo wanavyosema . Kwenye logo za mahospital mengine utakuta wameweka hayo majoka mawiliView attachment 2595034
 
MzeeKipusa kama we ni mkatoliki halafu unaandika kumuonya mwakasege ujue huna haki hiyo kwa sababu mwakasege ana nafuu kuliko wewe ulioko gizani. Kaa nuruni ndio uwe na haki kumnyoshea kidole mwakasege
 
Source yake ipo kwenye .... Leviathan & Rehoboth ,..those are the two ancient great serpents ambao Kazi yao ni kukaa kwenye migogo na vitovu vya watu.

Hayo ni majoka ambayo yaliwasumbua watumishi wengi wa Mungu akiwemo AYUBU.

Note: Inasemekana Moja Kati ya majoka hayo ndilo lililomdanganya Eva pale bustanini

#Kundalini ni kama female Energy ambayo inapatikana kwenye mgongo wanavyosema . Kwenye logo za mahospital mengine utakuta wameweka hayo majoka mawiliView attachment 2595034
Ayubu si alisumbuliwa na Shetani a.k.a Lucifer?
Na wanawasumbuaje watumishi wa Mungu?
 
Shalom Aleichem!

Ndugu zangu Watanzania,

Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwà kudra zake , lakini pia namshukuru kwà kuendelea kumlinda na kumuongoza Rais wetu mpendwa Mhe. Rais . Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN.

Ndugu zangu, jana nilipost humu Jamii forum thread ambayo ilikua ikimhusu Mwl. Mwakasege akisema aliwahi kufika Mbinguni ambako aliweza kukutana na Nabii Musa pamoja na Bwana Wetu Yesu Kristo wa Nazareth. Itoshe kusema thread hiyo ilikua na mjadala mrefu sana ambao mpaka sasa hivi bado unaendelea.

Leo hii pia nimepata nafasi ya kumtizama Mwalimu huyo via Upendo TV,...na nilichokigundua ni kwamba ,..kumbe hata na yeye pia ni miongoni mwa watu waliopata nafasi ya kuipitia thread niliyoiandika kumhusu yeye.

Sasa Ndugu zangu, (yeye Mwl. Mwakasege) katika kujibu hoja za thread niliyoiandika....amewahimiza kondoo wake ( hasa vijana) kutokufanya najibizano katika Social Media. Na tena kasisitiza kuwa , kuna roho za udanganyifu ambazo zinaweza kuwatoa kwenye reli.

Sasa Mimi naomba niseme yafuatayo kwakua najua kwanini kawaambia hivyo kondoo wake.

1. Ni jukumu letu sote kama Watanzania kuhakikisha Taifa letu linakua salama wakati wote.

Ili Taifa liwe salama , linahitaji vitu viwili

1. Silaha ( Hii ni Sawa na nuru na ni kwà ajili ya kulilinda TAIFA)

2. Maarifa ( Haya ni Sawa na Mwanga na ni kwà ajili ya kuliongoza Taifa)

Ndugu zangu, vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama kama vikijikita katika kuinvest kwenye silaha peke yake na likasahau kuinvest kwenye maarifa, au likawaachia watu waspreed maarifa ya hovyo yasiyokua na tija, ni dhahiri Taifa letu litaangamia , na tena kutakua na mmomonyoko wa maadili uliothikiri.

Nakumbuka , Hayati Mahatma Gandhi kuna siku aliwahi kutembea na nuru yenye Chemli , kwà lengo la kuwawashia Mwanga Wananchi wa India ili MWANGA huo uwaongoze kwenye Amani ya kweli. Lakini jambo hilo lilikua la Muda tu kutokana na uhalisia wa Nuru hiyo ( fake light) ambayo haikua na Mwanga wa kutosha.

2. Ni vyema viongozi wa dini katika Taifa letu wakubali kukosolewa. Wasijione wao ni malaika na wasipende kuwakumbatia watu ili wapate fedha nyingi wanazowaomba kwà njia ya Sadaka.

Social Medias, hasa Jamii forum, ni app nzuri sana hasa katika mambo ya kutoa Maoni au kurekebisha kasoro za watu hasa viongozi wetu. Kwasababu hii App inakufanya unakua Anonymous..usijulikane...unakua free kuairout your views / opinions kwà lengo zuri tu la kuwafanya wahusika wacorrect errors zao + mistakes zao.

Baada ya kusema hayo, itoshe tu kusema...Mimi ni Mtanzania ambaye ni Mzalendo, Muaminifu, Mtiifu na Mnyenyekevu. Hakuna mtu aliyenituma kuandika haya...ni Maamuzi yangu mwenyewe , ambayo yamenipa uthubutu na utayari wa kusema ukweli huo.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2594507
Who is mwakasege? Wahubiri, walimu wa dini, wengi ni waongo sana. Ata huyo. Wanakuwa na ukweli na uongo hukohuko, uinabidi uwe smart sana kuelewa. Mi mwakasege huwa simzingatii. Hana jipya.
 
MzeeKipusa kama we ni mkatoliki halafu unaandika kumuonya mwakasege ujue huna haki hiyo kwa sababu mwakasege ana nafuu kuliko wewe ulioko gizani. Kaa nuruni ndio uwe na haki kumnyoshea kidole mwakasege
Mimi ni Mkristo Ndugu.
 
Ayubu si alisumbuliwa na Shetani a.k.a Lucifer?
Na wanawasumbuaje watumishi wa Mungu?
Soma AYUBU 41...

“Can you catch Leviathan with a hook or put a noose around its jaw?"

Note: Sio watumishi wa Mungu tu wanaowasumbua bali hata watu wa kawaida tu. Hayo majoka ni hatari sana.

Ndiyo yanayokontrol all the diseases, sicknesses , maladies & illnesses.

Hata kwenye nembo za mahospital yamechorwa

View attachment 2595075
 
Back
Top Bottom