Mwizi wa gari avamiwa na nyuki na kurudisha gari baada ya mwenye gari kumuendea kwa mganga

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Hii imetokea huko Kenya Mwizi huyo alijifanya anahitaji gari za kukodisha na kuelewana na mwenye magari, mwenye gari alienda kununua vocha ndipo mwizi huyo alipomuwekea madawa kwenye juisi aliyokuwa akinywa na kukosa fahamu
Mhanga huyo alienda kwa mganga kwa kuwa hakuwa na imani na polisi na mganga akamuambia atapeleka gari hilo kwa polisi mwenyewe
Mwizi huyo alijipeleka kituoni mwenyewe na gari likiwa na nyuki waliokufa lakini mwenye gari alisema hatamfungulia mashataka kwa kuwa amepata gari lake

 
Hahaha
Comedy
Wakenya wanapenda kick sana...ukute ni janja ya mganga kupata wateja wakishirikiana na "mwenye gari"
 
Back
Top Bottom