Mwizi Shoga, Lo

Mwizi Shoga, Lo

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Siku ya kwanza mida ya jioni flani akaiba nguo zilizoanikwa juu ya kamba. Akakamatwa na masela wakampiga sana makofi kisha wakamwachia ila wakamtahadharisha asije tena kuiba kwani wakimkamata tena hawatampiga bali watamf.i.r.a. Jamaa kusikia kwamba akikamatwa atananihiwa siku ya pili akaja tena kuiba: kwa vile watu kwa wakati huo walikuwa mbali na yeye alipenda akamatwe na yale masela ili yamnahii basi aliamua kuita kwa sauti; "nyie mnaojifanya masela mimi ndo yule mwizi wa juzi naiba sasa na hamnifanyi lolote". Sisi na wale masela tukafika na kuanza kumpiga. Unajua yeye mwizi alisemaje wakati anapigwa? "Kumbe nyie sio waaminifu, si mlisema kuwa mkinikamata tena hamtanipiga .........". Wakajua kumbe bwabwa, masela wakampeleka chobingo na sikujua kilichoendelea huko!
 
Mkuu na wewe utakuwa ulienda uko chobingo!kwa hiyo yeye ni shoga na wewe ni basha na mlipokutana mkamaliza shida zenu!!poleni sana!!
 
Niombe radhi ndugu yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom