Mwizi akikurupushwa!

Mwizi akikurupushwa!

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,787
Inakuwaje pale mwizi anapoenda kuiba nyumba ya mtu na kukurupushwa alafu anapogeuka nyuma anabaini kuwa anayemfukuza ni USEIN BOLT.
 
...duuuuuu!! Asimame amwakie "shikamoo bro, hongera sana!"
 
Chopincho kama hata hili hujaelewa utaelewa nini sasa kwa mfano?
 
hahaha.......... lkn wezi wa Dar kwa vichochoro............ cdhani kma USEIN atampata
 
atajikuta kumbe anatakiwa aigawe ile gold medal mapemaaaa.... Hivi umeshwahi kumuona mwizi wa kibongo akiwa anatoka nduki wewe... Chezea kibaka anapoponya maisha.... Hahaaaaa..... Ni hatari...
 
Back
Top Bottom