Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa
Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa kurudi Bungeni kwani Chama cha Mapinduzi kiliwekwa na Mungu
Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa kurudi Bungeni kwani Chama cha Mapinduzi kiliwekwa na Mungu