Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,910
- 9,012
Hivi ni nani alitaka kuleta ndege nzima ys mashoga waje kutalii? Ni nani anakashafa eti anawasaga wenzake? Kibaraka yeye kasema kweli hiyo ni faragha lakini cha ajabu faragha ya kuwasaga wanawake wenzake imevuja.Wazungu wqnatambua hilo ya kwamba Tanzania haipatani na uovu huo, hata walipojaribu kumtumia kibaraka wao juu ya haki za kifaragha lilishindikana mazima.