DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Nilikutana nae Arumeru nikamuuliza swali 'vp Tarime 2015 maana mpo mafahali wawili yeye na Suguta John Heche,nani ni nani ktk ubunge via cdm? Akanijibu 'DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA ITACHUKUA MKONDO WAKE'.Najitahidi kukupa maelezo machache juu ya Waitara then kina Millya wajifunze kitu hapa,Waitara akanieleza kuwa 2015 yeye ata contest ktk kura ya maoni ila kama akishindwa atakuwa tayari kumpigia debe aliyepitishwa.AS IF kama angeacha mguu mmoja magamba tayari ktk uchaguzi mdogo wa Tarime enzi ya Mwera angekata tamaa na angerudi gambani..Na pia kuchakachuliwa mwaka juzi kungemdiscourage bt amebaki kuwa mpiganaji ambaye hakumbuki alipotoka...Hongera bro kwa kujitolea kuwa mpiganaji kuungana na kina Kamanda Lema..usikatishwe tamaa na akina_ TUNTEMEKE niliyeckia akikuponda humu last month..TIME WILL TEL..,M4C