fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 975
- 1,356
Habari wana JF.
Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo nini naona katika vita hii. Kwanza kabisa naomba nielezee jambo moja ili iwe rahisi kunielewa ninapo sema hizi vita(Mwisho wake ni hatari Sana).
Marekani tunajua ni miongoni mwa Nchi Bora katika muasala ya kivita na ubora wao umechangizwa na mambo mengi Sana lakini kubwa zaidi ni "Experience" . Ubora wao wameupata kwenye uzoefu. Uzoefu wa damu, hasara, maumivu, dharau, kufeli, kupigwa, kupoteza katika vita walivyo kuwa wakishiriki huko nyuma. Mfano Marekani na Afghanistan, Marekani na Iran, Marekani na Vietnam, Marekani na Japan n.k hizi vita zote alizo pigana zilimjenga na kumpa experience ambayo ilimfanya aendelee kujiboresha zaidi Kwa kutengeneza siraha hatari zaidi dunia.
Sasa turudi hapa Kwa Israel na Iran kwasasa wapo kwenye vita nzito najua vita hii itaisha na kitakacho baki hapo ni experience Kwa pande zote mbili yani Israel na Iran. Baada ya vita hii kuisha Iran atajiuliza sayansi yangu iliferi wapi mpaka adui akafanikiwa kunifikia atatafuta majibu pia ataona kumbe siraha nilizo kuwa nazo inatakiwa niboreshe zaidi au nitengeneze siraha hatari zaidi yani kama nikimpiga adui hata Kama kajificha chini kwenye mashimo afikiwe tu yani bomu lichimbue mpaka chini usawa wa shimo la choo.
Hivyo hivyo Kwa Israel nae tajiuliza niboreshe wapi kwenye weakness ili next time nikipigana vita Kama ni bomu basi nazamisha mji mzima . So mwisho wake ni hatari wakuu hizi vita watu wanazidi kupata mauzoefu tu mwisho wa siku Dunia itakuja kuzamishwa hii.