mwisho wa wiki dodoma!

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
jamani naombeni mniambie sehemu nzur dodoma utakazo tumia kureflesh wikend. mana haka kamkoa sehemu za kutembelea na kuenjoy ni tatu cjui mkoa mzima, mana kama sio dodoma hotel, 84, kiliman na wap? "nitajieni bac nmechoka kukaa ndan"
 
Kwani umechunwa nyama mpaka unataka kureflesh? Anyway, next time andika refresh and not reflesh!
 
Back
Top Bottom