...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

Huyo ni tishio kwa BAVICHA kwa sababu wote wanasimama katika nguzo inayofanana ambayo niya uongo na uzandiki.

Kwako uongo ni hoja mbadala unayodhani inanyima wanaCCM usingizi.

Kinachofanyika hapa ni kujibu UWONGO wa hoja zilizo za KWELI kama ilivyofanyika mpaka mleta uongo ameamua kufunga thread yake haraka na kukimbia kivuli chake kilichojaa uongo na uzandiki
 
Nasema na ninarudia tena
hii imechakachuliwa na huwezi kuwadanganya watz wa leo sio 47
hii imepikwa ikapikika watz msidanganywe wala msisikilize
huwezi kuleta video hapa imeanzia kati na kuishia kati
muliedit kwanza ama kweli tz kila kitu kinawezekana



 
Ninachompenda Nape Nnauye (Honey K); yeye kila tamshi lake au andishi analoandika mwenyewe likileta utata, jibu lake la haraka ni "nasingiziwa!"
Kwakuwa umeamua kujitia upofu...huoni aibu boss wako kaleta uongo na uzushi kautetea siku nzima umepatikana ukweli mbioooo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bora na wewe uliona hili
eti video haina mwisho wala mwanzo
nimesema msicheze na watz wa sasa kizazi cha dot.com
hii video ni edited imechakachulliwa kwa maana nyingine 100+



 
Kwa Ben Saatisa, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!

Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!


kuandika ben saatisa maana yake nin kama si kubehave utoto? mbona unashindwa kuwa serioua hata angalau kwa dakika chache? siasa za kitoto ndizo zinaponza chama kinaonekana hakina watu makini. ukishindwa kutumia elimu bas tumia hata akil za kuzaliwa. mara nyng umewaita watu wasio CCM majina ya kebehi kama Dr slaa kumwita babu n.k. binafs kuna watu sikubalian nao lakin haimaanish nijikosee na niwakosee wao heshima.nape ndugu yangu siasa si kashfa au umajivuni.jaman hamwangalii siasa za wenzetu? mbona wanaheshimiana ila wanapingana kwa hoja.! nyie mnaotumiwa mnatumika mpaka mnapitiliza.jaribu kukua kiakil washnde kwa hoja za msing kuwa sanifu kuwakAshifu kunatudhalilisha hata sis wengne hasa vijana.siku hizi tunatumika sana na viongoz.lakin pia kukaa kimya ni busara sana wakat mwingne.nape nakwambia kwa upendo bila kukutukana. badilika kijana mwenzangu.kabla hujasema kwanza fikiri lakin si lazima useme wakat wote....
 
Last edited by a moderator:
Unafiki unakusumbua mpaka unajitahidi kujenga hoja ambayo ni muflisi.

Kama huiamini video yanya picha na maneno kutokana na vigeo hivyo unavyovisema, kitu gani kinakufanya uamini yaliyoandikwa kwenye gazeti.

Habari kuandikwa na magazeti mawili hakutoi angalizo kama habari ilikuwa niya kweli.

Siyo ninyi mnaopiga kelele hapa kuwa vyombo ya habari nchini vinachukua habari kutoka jamii Forum na kuzifanya ndiyo habari zao kwenye front page za magazeti yao.

Siyo ninyi mnaodai kuwa magazeti ya Tanzania kazi yake ni copy & paste kwa sababu habari zake mara nyingi zinafanana.

Siwezi hata kusema wewe ni Tomaso wa kwenye biblia bali unafiki ndiyo unakusumbua.
 
Kama CCM inategemea viongozi kama huyu sidhani kama inauwezo wa kutusaidia Watanzania kujikomboa na matatizo tuliyonayo ya Umasikini, Maradhi na Ujinga kwani wao wenyewe Ujinga umewajaa.
 

Ni kweli kamanda, ben saa8 naye ni tishio kwa magamba, ni kijana msomi asiye na uchu wa madaraka wala tamaa ya pesa.ndio maana aliwakataa masalia.ben saa8 ni kijana mzalendo ndui maana magamba hawaishi kumchafua na kumtukana kila siku maana anawanyima magamba usingizi. :target:
 
Last edited by a moderator:
Lonesome,
Bila kuathiri majibu ya Nape akiamua kuja kujibu lakini, hivi mwanaume mwenye mtoto mwenye watoto naye anaitwaje kama sio Babu?!! Dr. Slaa ana watoto wenye watoto nao, kama sio babu tumwite bibi? Linageukaje kuwa tusi hili???!
 
Mods, kama kweli tuna hakikishiwa kuwa JF sio mahali pa mtu kuleta uongo wake na kuendelea kudunda tu humu jukwaani, ningependa huyu mtu anaeitwa Ben Saanane awajibishwa kwa kuleta taarifa ya uongo humu jamvini.

cc: Paw, Buchanan, Moderator
 
Last edited by a moderator:
Kwakuwa umeamua kujitia upofu...huoni aibu boss wako kaleta uongo na uzushi kautetea siku nzima umepatikana ukweli mbioooo
Fikra ya mtu haifichiki kwa kutumia pen ID. Mpumbafu ataendelea kuwa mpumbafu, mjinga ataandika ujinga, na mwenye akili ataonekana tu. Labda nikuulize, umekwishasoma posts ngapi zenye ubaguzi wa rika zilizoandikwa na Nape humu JF mpaka leo?
January kawachana kina Lowassa,Membe na wengineo kuwa wote waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na mawazo ya Urais maana watatupotezea muda ...tunahitaji rais wa dot.com atakayeendana na changamoto za leo
 
Ni kweli ni mzalendo kwa uongo wake kama huo aliomzushia Nape hapa kisha akakimbia.
 
Sasa we mburula si lete ya kwako ambayo haijachakachuliwa!Vinginevyo kalale

Acha kupayuka ndugu ukweli unaonekana na kwa watu wenye akili na ufahamu alichokifanya Nape ni kichekesho kwani kiongozi mkubwa wa chama kama yeye hakutakiwa kufanya alichokifanya kwani anazidi kukidhalilisha chama chake/chenu
 
Nape anadhani tuko enzi za kusoma PGM chuo cha ualimu,sio sasa utadanganya tena watanzania kwa maneno.

Amesahau teknolojia imekua.amesahau kuwa unaweza kurekodi sauti kwa simu ya kiganjani na video ya tukio zima.
Lakini kwa vile nape yupo kianalojia wenzao chadema wapo kidigitali zaidi.

Mwanadiwani na wengineo kwa vile mkuu wao wa lumumba kaongea hata liwe baya watamuunga mkono.
Ugonjwa mbaya kuliko wote duniani ni ugonjwa wa kutojitambua

Kanusheni basi hajasema wanaopinga serikali mbili hawana akili timamu.
Nape mdogo wangu tulia kajifunze siasa za kistaarabu kwa wenzio unaposafiri..achana na siasa za kiswahili swahili

Ushauri wa bure..

Kwa vile unaongea bila nukta jaribu kuandika hotuba zako.
 
video ya kutengeneza.....tume stuka pole weee.
 
Ni kweli ni mzalendo kwa uongo wake kama huo aliomzushia Nape hapa kisha akakimbia.
Una uhakika kwamba Nape hakusema hivyo na ni kipi kinachokuamisha kuwa Nape hakutamka yale yaliyohusu kukashifu wazee?
 
Fikra ya mtu haifichiki kwa kutumia pen ID. Mpumbafu ataendela kuwa mpumbafu, mjinga ataandika ujinga, na mwenye akili ataonekana tu. Labda nikuulize, umekwishasoma posts ngapi zenye ubaguzi wa rika zilizoandikwa na Nape humu JF mpaka leo?
Dogo hata sie wabeba mabox tunajua Nape anawapasua kichwa sana Magwanda hanchelewi kum Denis Msaki. Anasababu gani ya kuja na PenId kama wewe wakati huwa anakujankwanjinanlake kama alivyofanya hapa? Kama kidume njoo kwa jina lako kwanini unajificha!
 
Nape mwandosya mimi nina swali moja la kukuuliza, hivi ule mkakati wa kuvuana magamba uliishia wapi?? Na zile siku 90 mlizotoa kwa hayo magamba bado hazijaisha??? Tafadhali sana naomba majibu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…