Mwisho wa mwezi una mambo!

Unakidharirisha kyombo kya dora...Mura!
 
Huyu ameziakia tangu asubuhi na mapema anazichangisha,ameshazikamata za kutosha,iliyobaki ni kuponda starehe.Hatma ya matrafiki karibu wote huishia pabaya kwa ajili ya dhulumati.Angalia jamaa anachapa singizi wakati inavyoojesha hapo ni muda wa kazi.
 
Mkuu huyu jamaa ni jirani yangu pale mtaani....huyu si baba fulani kabisa huyu? Lazima nimwonyeshe madudu yake.
 
Kazi ya kusimama barabarani ngumu sana aisee. Ukibisha waulize hata wachoma mahindi. Acha tu ajipumzikie kwa amani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…