Mwisho wa mwezi kweli kuna raha na karaha!!

Mwisho wa mwezi kweli kuna raha na karaha!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,126
View attachment 148715
"Mwisho wa mwezi ,mwisho wa mwezi kweli kuna raha jamani"-Hemedi Maneti, Vijana Jazz
Watu wote wanaelekea mujini, hata magari ambayo huwa hayatoki leo yako barabarani!
Haya foleni hiyo sehemu za Goig Mbezi asubuhi hii.
Hakuna aneyekwenda shamba!!!!
 
mkulu akaamua kuongeza kodi ya kuingiza magari ili foleni ya dar ipungue, swali ni je kuhusu sisi wa mikoani ambako hakuna foleni?
 
Watulie hakuna michepuko ...sie wa tz 11miguu tuchepuka
 
Back
Top Bottom