Mwisho wa mwaka 2012

Mwisho wa mwaka 2012

Maroun MU

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
97
Reaction score
4
Leo ni mwezi wa 11 imebaki mwezi m1 mwaka huu wa 2012 uishe ili tuuingize mwaka 2013,swali sasa linakuja hapa kipi kitu cha muhimu ambacho utasema seriakali yako kimeifanya kinachokupelekea wewe uipongeze ama kipi ambacho kimekukera kilichofanywa na serikali mwaka huu 2012.
 
leo ni mwezi wa 11 imebaki mwezi m1 mwaka huu wa 2012 uishe ili tuuingize mwaka 2013,swali sasa linakuja hapa kipi kitu cha muhimu ambacho utasema seriakali yako kimeifanya kinachokupelekea wewe uipongeze ama kipi ambacho kimekukera kilichofanywa na serikali mwaka huu 2012.
bado miezi miwili mwaka uishe.naipongeza serikali yangu kwa kupunguza bei ya kuunganisha umeme majumbani.
 
Epica 9.bomu lingine lakufungia mwaka.no salaries no any malipo serikalini ukiuliza Epica9
 
Leo ni mwezi wa 11 imebaki mwezi m1 mwaka huu wa 2012 uishe ili tuuingize mwaka 2013,swali sasa linakuja hapa kipi kitu cha muhimu ambacho utasema seriakali yako kimeifanya kinachokupelekea wewe uipongeze ama kipi ambacho kimekukera kilichofanywa na serikali mwaka huu 2012.
acha uongo!
 
dunia itaisha mwezi ujao isipoisha nitachangia chochote 1/1/2013
 
Leo ni mwezi wa 11 imebaki mwezi m1 mwaka huu wa 2012 uishe ili tuuingize mwaka 2013,swali sasa linakuja hapa kipi kitu cha muhimu ambacho utasema seriakali yako kimeifanya kinachokupelekea wewe uipongeze ama kipi ambacho kimekukera kilichofanywa na serikali mwaka huu 2012.

KILICHONIKERA ZAID ZAID NI KULE KUNITISHA KWAO KWA TAMBO ETI NISICHUKUE MAFAO YANGU YA NSSF KWA HIARI YANGU HAD NITAPOFIKISHA MIAKA 60,,
WANA NDOTO ZA ALINACHA SANA,,OLE WAO,BORA WAMEFUTA KAULI YAO
EBO...!
:A S angry: :A S angry:
 
mwenzenu labda gari moshi ya mwakyembe
 
Back
Top Bottom