Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,991
- 168,518
wote huumiaMmh, kwa hiyp wanamme huumia badae?
Sio wanaume pekee waumiao
hata wanawake pia huumia sana kwa kuachwa lakini tatizo nini mpaka
inafikia hapo?yatupasa tuwe tunakumbuka wapi tulipoanzia kabla ya
kufikia muafaka huo
Naomba mnisaidie nifanye nini nifanye mume wangu atulie,sifanyi
kazi,hataki nitoke,wala niwe na rafiki yoyote yule mpekuzi sana na hata
matumizi binafsi kunipa ngumu nikiomba sina hela nikipata nitakupa
nifanye nini?
Sio wanaume pekee waumiao hata wanawake pia huumia sana kwa kuachwa lakini tatizo nini mpaka inafikia hapo?yatupasa tuwe tunakumbuka wapi tulipoanzia kabla ya kufikia muafaka huo
Naomba mnisaidie nifanye nini nifanye mume wangu atulie,sifanyi kazi,hataki nitoke,wala niwe na rafiki yoyote yule mpekuzi sana na hata matumizi binafsi kunipa ngumu nikiomba sina hela nikipata nitakupa nifanye nini?
Kongosho, yaani ananifanyia makusudi. Akiwa na Mwita Maranya wake lazima washikane shikane barabarani ili niumie roho.He he he, kakukomeshaje?
Kongosho, yaani ananifanyia makusudi. Akiwa na Mwita Maranya wake lazima washikane shikane barabarani ili niumie roho.
Kongosho, yaani ananifanyia makusudi. Akiwa na Mwita Maranya wake lazima washikane shikane barabarani ili niumie roho.
Mwanamalundi yamenikuta na yamenigandaKaka!! Yamekukuta?
Donn pole sana, naona umepata binti mvumilivu sana. Wahuni binti wa namna yako wanamuita KING'ANG'ANIZIBujibuji, mi nabisha kuwa ni wanaume tu ndo wanaumia ktk kuvunjika kwa mahusiano.... @''kwa mujibu wa post yako'' ... hapa mi najaribu kutafuta upenyo wa kuwa singo boi walu kwa mwezi lakini nashindwa mpaka nawaonea wivu walioachika