Mwisho wa Daudi Ballali

Kumbe walishirikishwa ila sio kikamilifu,kwa Balali hawakushirikishwa hata kidogo ndugu zake.

Hakuna aliyewahoji ndugu zake wa karibu wakaelezea. Sijui waandishi wetu wanaona ugumu gani kuhoji mke, watoto na ndugu wengine wa Karibu. Tunalishana gossip tu!
 
Balali alipiga Pesa nyingi sana ila azifikii zilizopigwa baada yake
Yawezekana maana nyumban kwao hapo Luganga pamechoka sana na hakuna hata dalili ya kua panakaliwa na watu wenye kauwezo kadogo...yaan dah siasa hizi?
 
Ila movie za CCM hizi ! Wanaona watu wote wajinga eeh?
 
Yawezekana maana nyumban kwao hapo Luganga pamechoka sana na hakuna hata dalili ya kua panakaliwa na watu wenye kauwezo kadogo...yaan dah siasa hizi?
Nimepita juz sijui why hata hawapaendelezi hata kule mtwango kumedodaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…