Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,253
- 44,363
Nijuavyo nokia hawajawahi kui dump symbian os,hata kwenye hz nokia asha series si wametumia symbian os.???
Hata hivo hii os imekaa kizaman na inafaa kwa vsmu vdogo hvohbo
Mkuu hii ya kwenye vinokia vidogo sio Symbian, hivi vinatumia Nokia Series 40 (S40) operating system, hizi icon zisikuchanganye maana hata icon za MeeGo na Symbian pia zinafananaNijuavyo nokia hawajawahi kui dump symbian os,hata kwenye hz nokia asha series si wametumia symbian os.???
Hata hivo hii os imekaa kizaman na inafaa kwa vsmu vdogo hvohbo
Nitalimiss sana jina "NOKIA N70" the best ever.
Mkuu yangu nilinunua 2009 hadi juzi tu nikaibiwa. Lakini haijawahi sumbua hata kidogo, mbaya zaidi madukani hazipo. Siku moja nikaingia web ya nokia ndio nikakuta wameiita. "N70 the best ever" niliinjoi sana!Mkuu Ukisema hivyo wantoa machozi naipenda sana N70 yangu sasa sijui haitafanya kazi tena jamani
hawatazisupport hilo walishasema. sasa hv ni lumia tu
kwa hiyo hawatatumia resource za Nokia watakuwa na zao
Kijiji cha Nokia nadhani ndio kijiji maarufu kuliko vijiji vingi Uholanzi. Kwa heri nokia
Namaanisha miundombinu watakuwa wanabuni design wenyewe na material ya simu watakuwa wanatumia ya kwao kifupi watakuwa na hardware zao wenyewe hawatawategemea tena nokia au?
Mkuu yangu nilinunua 2009 hadi juzi tu nikaibiwa. Lakini haijawahi sumbua hata kidogo, mbaya zaidi madukani hazipo. Siku moja nikaingia web ya nokia ndio nikakuta wameiita. "N70 the best ever" niliinjoi sana!
Relevance ya hii statement kwa mada husika ikoje Mkuu?
Wapendwa nnakapc kangu aina ya dell e6400, inanigomea kuingiza charge ila nnaweza kutumia Kama desk top.
Naomba kufahamu tatizo, je Ni adaptor battery charging system au umeme ninaoutumia?
Hiyo battery ð ina tatizo