Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
mwakani mwezi wa 12 nokia anaruhusiwa kutoa simu mpya. imebaki miez 13 tu.
wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?
Mkuu, mbona umeachwa nyuma sana? tatizo hilo lilishatolewa maelezo kwamba key board ndiyo shida, na wezako wameelewa na kusahau kitambo, wewe ndo unaibuka leo? Hapo hapaitaji lugha bali kutibu umasikini. Fungua mara kwa mara JF threads usiachwe nyuma mkuu.Andika kwa kiswahili kaka!!! Hii lugha ngumu!!
mwakani mwezi wa 12 nokia anaruhusiwa kutoa simu mpya. imebaki miez 13 tu.
Tuache utani symbian OS ilikuwa kiboko, walivyoiua tu na kuja na WP na milumia yao nikawapa nokia mkono wa kwa heriblackberry sio WINDOWS PHONE.. hata hizo nokia zenye microsoft WINDOWS OS ni hizi za hivi karibuni (lumias n the like).... previously zilikuwa zinatumia symbian tech na meego..
.....
Mkuu hebu ufafanuzi kidogo, anawezaje kutoa simu ili hali viwanda vyote vya simu kauza kwa Microsoft, au naye ataanza kufanya kama Google
ukitoa samsung, sony na nokia waliobakia sidhani kama wana viwanda
apple mwenyewe anatumia foxconn.
hivyo kwenye kutengeneza simu sio issue ila tabu ipo kwenye kudesign sababu hakuna workforce ya kutosha.
ila nokia wana advantage moja kwamba wale maguru wao alipokuja elop waliacha kazi hivyo wapo finland bado wanaweza ku recruit upya. na pia ipo jolla wanaweza kui acquire.
jambo jengine zuri ni kwamba research department bado ipo na nokia, na hawa jamaa nafkiri unawajua product zao hivyo huenda nokia akaja na kitu kisichoexist duniani

Tuache utani symbian OS ilikuwa kiboko, walivyoiua tu na kuja na WP na milumia yao nikawapa nokia mkono wa kwa heri
Unafikiri hawana mipango na mikakati katika maamuzi wanayotoa?
Kama unao uwezo wa kuelewa hilo, basi huna sababu ya kuwashangaa kwa nini wamefanya hivyo. Biashara ni mikakati mkuu.
mi nataka kujua kama microsoft wataendelea kuzi support sim za Nokia s40 ama wataendelea na Lumia na Asha tu kuzisupport.asante
hawatazisupport hilo walishasema. sasa hv ni lumia tu
Maadamu simu yangu ya Siemens C25 inafanyakazi sina haja na simu nyingine kwa sasa
OK, tusubiri, ila kama watarudi ingekuwa poa sana wakafufua symbian OS, hii OS nimeifeel kuliko OS nyingine yoyote
Kijiji cha Nokia nadhani ndio kijiji maarufu kuliko vijiji vingi Uholanzi. Kwa heri nokia
Sabuni nahsi ni 3310, a.k.a Jeneza....Mie na Nokia 3210 yangu akuuu!ntaiweka makumbusho nyumbani.
Mulikuwa munaiitaje vile,"Mbuni(sabuni)?"
Tuache utani symbian OS ilikuwa kiboko, walivyoiua tu na kuja na WP na milumia yao nikawapa nokia mkono wa kwa heri
Sumsung s5 IPO juu sana