Dah wasije kumchapa kofi tena jamani ulinzi uimalike.
Cc. Faiza foxy
umeona eeeeee! hawachelewi
Dah wasije kumchapa kofi tena jamani ulinzi uimalike.
Cc. Faiza foxy
kumbe ni promo ya kuuza gazeti lenu.. sawa.kanunue gazeti usome
Kwani china kuna makanisa? Au point ni kwamba tabia ya watz hawaendi bila kanisa na misikiti?
Kwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Kwahiyo Mwinyi anadharau?Kwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Ni vyema taasi za dini zikapewa kipaumbele katika suala zima la maedeleo ya nchi. Asante Mwinyi kwa kuliona hill
View attachment 474012
Mmebebwa kwa mbeleko mmeshindwa,mkiacha uswahili mtabadilikaHizo ni dharau, dini zote zikishirikishwa vizuri na kwa nia njema zitasaidia maendeleo ya nchi yetu
Kasema ukweli tena na hamis kingwagwala na kasapotiHuku ndo kulewa madaraka babkubwa ata dini yako na imani yako unaziweka rehani.
Kuwa makini Sana na maneno yakoWakuuu nmepata habar huyu mzee amefarik kuna mwenye taarfa kamil?
Dunia ni kisiwa. Msimtie maneno ndani ya kinywa cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Kichwa cha habari kingesomeka; Tanzania: Hakuna ukafiri bila ya Kanisa.Hapa Tuko Tanzania Mkuu, hivyo ni vyema tukatofautisha na Saudi Arabia
Sio busara kutoa hukumu kwa kutumia vichwa vya habari kwani wakati mwingine kuna tofauti kubwa na kilichosemwa na kuandikwa kwa kina.Ni vyema taasi za dini zikapewa kipaumbele katika suala zima la maedeleo ya nchi. Asante Mwinyi kwa kuliona hill
View attachment 474012
Madhali huisemi CCM na serikali zake ni sawa tu na hakuna uchochezij wowote wala hatari ya kuleta mgawanyiko katika taifa.Mambo kama haya sio ya kuandikwa magazetini, yanaleta mgawanyiko katika taifa.
Mkuu hebu nielemishe, Kanisa gani hilo liloanzisha uislamu? Kanisa la hamis kigangwala?Ukijua kuwa uislamu ulianzishwa na kanisa ndo utaweza pata jibu la swali lako.
Yapo, na mabadiliko yanayotokea China kiuchumi kanisa lina mchango wake!Kwani china kuna makanisa? Au point ni kwamba tabia ya watz hawaendi bila kanisa na misikiti?
Nimecheka sana mkuu..Dah wasije kumchapa kofi tena jamani ulinzi uimalike.
Cc. Faiza foxy
Yaap mkuu. Viwanda vingi kule ni vya wazungu, na miradi mikubwa ya Maendeleo inatekelezwa na wazunguKwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Jibu swali kama lilivyoulizwaYaap mkuu. Viwanda vingi kule ni vya wazungu, na miradi mikubwa ya Maendeleo inatekelezwa na wazungu
Watu wanatokwa mapovu tu hapa ila hakuna hata mmoja,nina uhakika hapana hata mmoja hapa jamvini alopata nafasi ya kusoma kilichoandikwa humo ndani ya gazeti.mjinga mmoja hapo juu nae kauliza eti anasikia Mzee Mwinyi kafariki!!!kweli tunafikia kubishana kwa vitu tusivyokuwa na uhakika navyo hadi kutamani binadam mwenzetu kufa?huu ni ulimbukeni wa hali ya juu.Sio busara kutoa hukumu kwa kutumia vichwa vya habari kwani wakati mwingine kuna tofauti kubwa na kilichosemwa na kuandikwa kwa kina.