Huu Ni msiba mzitoNi vyema taasi za dini zikapewa kipaumbele katika suala zima LA maedeleo ya nchi. Asante mwinyi kwa kuliona hill
View attachment 474012
Kwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Hizo ni dharau, dini zote zikishirikishwa vizuri na kwa nia njema zitasaidia maendeleo ya nchi yetuHapa Tuko Tanzania Mkuu, hivyo ni vyema tukatofautisha na Saudi Arabia
We kumbe hujui, fatilia basiKwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Ukijua kuwa uislamu ulianzishwa na kanisa ndo utaweza pata jibu la swali lako.Kwa hiyo Saudi Arabia ilijengwa na makanisa?, acheni dharau
Maanayake niniInnalillahi........
Udini unakusumbuaHuu Ni msiba mzito
Ungeleta kilichoandikwa ndani...