Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Tena yataka wamfunge maisha,uchochezi ni kosa kisheria.
wewe mtoa mada hujielewi,na kichwa chako kina funza badala ya ubongo.
wewe mtoa mada hujielewi,na kichwa chako kina funza badala ya ubongo.
Eti sheikh. Basaleh, Ponda, Ilunga ndio wanaostahili kutungwa! Mbona nyinyi makafiri mna chuki za wazi kwa waislam? Ebu niambie lipi kosa la ponda, basaleh, na ilunga. Kwahiyo wewe kwako mchochezi ni muislam tu? Ndio maana mimi binafsi siwapendi makafiri na kamwe sina marafiki makafiri kwa sababu nyinyi ni wanafiki na moto wa jehanamu wawangoja
... Yeah!... Kwa hiyo wewe kwako mchochezi ni muislam tu? ...
Hawa vijana wanahubili Bibilia kwa kuzingatia Katiba lakini lipo tatizo moja ambalo mimi naliona:Wadau,nasikitika serikali kukamata watu wasio na hatia na kuwaacha wafanya fujo kufaidi mema ya nchi kwa kile kinachodaiwa ni 'lugha ya uchochezi'.
Mtume huyu wa Mungu wa kweli amekumbwa na dhahama hiyo akiwa katika semina huko Maswa cha ajabu polisi inamshikilia.Serikali ya ccm hivi lugha ya uchochezi ni ipi?AU ni hii ya UA ASKOFU UA KADINALI?Watu kama akina Shehe Ilunga,ponda,basalehe,kundecha nk wametoa lugha za uchochezi hawajakamatwa.Au kwa sababu kitengo cha Qur'an kipo chini ya ofisi ya makamu wa Rais ambayo hajawahi kupewa Mkristo?Kwenu wapenda amani:2015 msiirudishe ccm madarakani kwani sera zake zimeharibu nchi.Mwinjilisti Ndimbo,pole MUNGU WA KWELI ATAKUTETEA,
Mimi ni mtumishi wa Mungu,kwa hiyo Mungu anapomuita mtu amtumikie anaweka funza kichwani?
aisee, sijawahi ona wala kusikia binadamu mwenye funza badala ya ubongo akaishiwewe mtoa mada hujielewi,na kichwa chako kina funza badala ya ubongo.
mkuu ulinitukana nini?maana naona umedelete post kabla ya hii.cpati picha utakapo sikia kaachiwa..utalipuka kwa hasira.dua la kuku...halafu kwa damian hiyo siyo mara ya kwanza.record yake ya kukamatwa na polisi hata ponda haifikii.