TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
KATIBU wa Baraza la
Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama
hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji
ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana.,
alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge
wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice
Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya
wilayani humo.
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.

Kadi ukate CHADEMA kwa nini uirudishe CCM?Labda kuna kazi alitakiwa afanye CHADEMA imeshindikana hivyo amerudi alikotoka.Asisingizie Ubinafsi wala ubaguzi kwani anakoenda kuna tofauti?
Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu

Kumekucha