Mwingine akamatwa na dawa za kulevya Moshi

Mwingine akamatwa na dawa za kulevya Moshi

Mwingine Akamatwa na Dawa za kulevya MOSHI akiwa amejifunga mwilini.....

099a8b7befdd31a6c7d093429df0d341.jpg
Hahahaaaaaa!!huyu jamaa nimempenda bure kajivisha midawa ya kulevya akatokea kama vile BASHITE anavyovaaga bullet proof lake kosa moja tuu hawa askari hawajamgeuza mtuhumiwa kwa nyuma tuone kama ana chivunduu kama la DAB
 
Hiyo ni mirungi a.k.a gomba au miraa.Hakuna dawa za kulevya hapo.
 
Hiyo ni mirungi a.k.a gomba au miraa.Hakuna dawa za kulevya hapo.
 
Hii mirungi iondolewe kwenye orodha ya madawa ya kulevya kwa maana kwa EAC kitu hicho hicho hakiwezi kuwa haramu Tanzania na Kenya kikawa halali kiasi kwamba ni moja ya biashara inayoinua uchumi wa Kenya.
 
Back
Top Bottom