mwili watupwa tegeta Kondo

mwili watupwa tegeta Kondo

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Dead Body.jpgdeadbody 2.jpg


Huyu alikutwa akiwa ametupwa, maeneo ya Tegeta Kondo ndani ya uzio wa kiwanja karibu na makaburi ya Kondo jana tarehe 21-02-2013. alikuwa amefukiwa kama anavyoonekana lakini mguu ulibaki nje. Polisi walikuwepo wakiwahoji wakazi wa nyumba iliyo ndani ya uzio huo.

UPDATES:
nimeongea sasa hivi na mtu wa maeneo hayo kujua kilichojiri, ni kwamba huyo mtu alikuja kutambuliwa, ni mzee aliyekuwa mlinzi kwenye baa ya mzee mmoja anaitwa Mwaipopo iko maeneo ya Bahari beach, baada ya kutoonekana kazini watoto wa huyo mzee katika kufuatilia ndo wakaja kugundua ndiye aliyekuwa amekufa pale (walimtambua baada ya kufukuliwa) ingawa ilibidi azikwe maeneo hayohayo kutokana na mwili wake kuwa umeharibika sana.

Huyo mzee alikuwa anaitwa mzee Denis na hakuwa na mtoto wala mke, na kwa taarifa nilizopewa ni kuwa alikuwa mlevi wa pombe za kienyeji, mlevi sana kiasi kwamba chakula kwake ilikuwa sio muhimu.

Taarifa nyingine ni kuwa mama aliyekuwa anaishi kwenye nyumba hiyo alikuwa anauza pombe za kienyeji. Mama huyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano lakini taarifa inasema kuwa aliachiwa baadaye.
 
ukute ndugu zake wanamtafuta uko kumbe mwenzao kafukiwa......RIP.
 
ukute ndugu zake wanamtafuta uko kumbe mwenzao kafukiwa......RIP.

Ni kweli sister, nimeongea sasa hivi na mtu wa maeneo hayo kujua kilichojiri, ni kwamba huyo mtu alikuja kutambuliwa, ni mzee aliyekuwa mlinzi kwenye baa ya mzee mmoja anaitwa Mwaipopo iko maeneo ya Bahari beach, baada ya kutoonekana kazini watoto wa huyo mzee katika kufuatilia ndo wakaja kugundua ndiye aliyekuwa amekufa pale (walimtambua baada ya kufukuliwa) ingawa ilibidi azikwe maeneo hayohayo kutokana na mwili wake kuwa umeharibika sana.

Huyo mzee alikuwa anaitwa mzee Denis na hakuwa na mtoto wala mke, na kwa taarifa nilizopewa ni kuwa alikuwa mlevi wa pombe za kienyeji, mlevi sana kiasi kwamba chakula kwake ilikuwa sio muhimu.

Taarifa nyingine ni kuwa mama aliyekuwa anaishi kwenye nyumba hiyo alikuwa anauza pombe za kienyeji. Mama huyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano lakini taarifa inasema kuwa aliachiwa baadaye.
 
Last edited by a moderator:
Na hicho kitenge alimpa nani?
 
........................Mabwe pande............... pia kuna Tegeta
 
Na hicho kitenge alimpa nani?

Hapo ndo na mimi nashangaa, na pia inakuaje mtu mpaka anaharibika bila wenye nyumba kuwa na taarifa, maana alishaanza kutoa harufu kabisa.
 
Back
Top Bottom