So makamu wa Rais alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa?CHADEMA mambo ya misiba kwao ni kick ya kisiasa....wamepoteza dira baada ya kuwa watetezi wa mafisadi....misiba yote kuanzia msiba wa Mawazo. wanafunzi Arusha na sasa Ndesamburo ni sehemu yao ya kutafutia umaarufu wa kisiasa
Mnataka kuwapangia watu namna ya kuaga mpendwa wao?Binadam Akishafariki ni vema akahifadhiwa sehemu yake husika ambayo ni kaburini ndiyo maana ndugu zetu waislam hawana mambo kama haya
Chadema kila kitu ni siasa
Maiti kwani inasikia maumivu?unaitesaje sasa?halafu si itakuwa kenya gari la kifahari au?Taarifa kutoka Radio One zinasema maiti Ya ndesamburo itazungushwa mitaani manispaa Ya Moshi ikiwa kwenye jeneza la kifahari lililonunuliwa toka kenya eti kuwapa nafasi wananchi kuaga. Huu ni utesaji maiti jamani. Watu wanafanya maiti kama maonyesho Ya biashara Ya kuzungusha mitaani. Chadema naona kuna washirikina hivi kwa nini wanaonyesha kama wamefurahi kifo chake kwa kuona wamzungushe mitaani watu wajue kweli kafa. Kuna ushirikina sio bure
Wanachotaka kufanya ni kutumia maiti kufanya maandamano ya CHADEMA.Kutokana na kuwa siku ya kutembeza hiyo maiti (maandamano ya kutumia hiyo maiti) itakuwa ni siku za kazi na biashara basi maiti ipewe njia ambayo haitasababisha shughuli za watu wengine kusimama au kuvurugika.Polisi wawapangie njia zisizo na wafanya biashara wengi au ofisi nyingi za serikaliCHADEMA mambo ya misiba kwao ni kick ya kisiasa....wamepoteza dira baada ya kuwa watetezi wa mafisadi....misiba yote kuanzia msiba wa Mawazo. wanafunzi Arusha na sasa Ndesamburo ni sehemu yao ya kutafutia umaarufu wa kisiasa
Uislamu na ukristo tofauti, umesema mwenyewe! Basi wote tuwe waislamuBinadam Akishafariki ni vema akahifadhiwa sehemu yake husika ambayo ni kaburini ndiyo maana ndugu zetu waislam hawana mambo kama haya
Kwani hujui kuwa chadema ni chama cha siasa na kazi yake ni siasaChadema kila kitu ni siasa