Mwili wa Mwanamke waokotwa Coco Beach

Mwili wa Mwanamke waokotwa Coco Beach

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,623
Reaction score
40,171
Mwili wa mwanamke ambaye hajatambulika jina, umepatikana leo Oktoba 10, 2025 katika eneo la Coco Beach, Dar es Salaam.

Musa Miamba, Mwenyekiti wa Utunzaji wa Mazingira eneo hilo, amethibitisha kupatikana kwa mwili huo.

Mwili umechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya taratibu za kuhifadhi na uchunguzi, ili kubaini chanzo cha kifo na utambulisho wa marehemu.

 
Back
Top Bottom