Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

Wakuu nipo njiani kuelekea Masaki katika kushuhudia kuagwa na atimaye mazishi ya aliyekuwa kiingozi wa Freemasonry Afrika Mashariki sir Andry Chande aliyefariki siku chache, zilizopita jijini Nairobi.

Kufuatana na mira na desturi za kwao mwili wa sir Andry Chande utachomwa moto na hatimaye kuzika mavumbi yake.
Tunategemee viongozi Wendi wa serikali kuhudhuria Kia kuwa sir Andry Chande anao mchango mkubwa sana katika taifa hili.

Pia viongozi wengi wa Freemasonry kutoka nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kuhudhuria mazishi hayo.

Pale nitakapoweka kuingia na kuwapatia kapicha nitaingia na pale nitakaposhindwa kuingia kutoka na mira na desturi za Masonic nitawatarifu kuwa nimeshindwa.

Taarifa zote nitakazozitoa zitaambatana na picha.

Stay tuned and wait to hear from me.
najua mzee wa 966 atakuwepo pia. Usisahau kumchukua na kuturushia.
 
Wakuu nipo njiani kuelekea Masaki katika kushuhudia kuagwa na atimaye mazishi ya aliyekuwa kiingozi wa Freemasonry Afrika Mashariki sir Andry Chande aliyefariki siku chache, zilizopita jijini Nairobi.

Kufuatana na mira na desturi za kwao mwili wa sir Andry Chande utachomwa moto na hatimaye kuzika mavumbi yake.
Tunategemee viongozi Wendi wa serikali kuhudhuria Kia kuwa sir Andry Chande anao mchango mkubwa sana katika taifa hili.

Pia viongozi wengi wa Freemasonry kutoka nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kuhudhuria mazishi hayo.

Pale nitakapoweka kuingia na kuwapatia kapicha nitaingia na pale nitakaposhindwa kuingia kutoka na mira na desturi za Masonic nitawatarifu kuwa nimeshindwa.

Taarifa zote nitakazozitoa zitaambatana na picha.

Stay tuned and wait to hear from me. Update 2.

Wakuu nimeshafika jirani na hapo. Ka mkweche kangu nimekapaki huko mbal maana ni aibu Nipo mita chache natupia jicho. Natafuta namna ya kujichanganya. Magari yanayoingia hapa ni ya kufuru kubwa. Kuna walinzi wengi. Mazingira tulivu. Watu na heshima zao, karibia wore wamevalia suti nyeusi nawaona wakishuka kwa mbali. Natamani nirudi nyumbani nikabadilishe ili niendane na muktadha.
Huyu Diamondi domo yupo?
 
Back
Top Bottom