Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,542
- 3,451
Uumbaji una mengi na yanayostaajabisha kwa mfano Daktari anapothibitisha mtu amepoteza maisha ni sawa na kusema ndani ya dakika mbili au tatu ubongo umekufa lakini bado sehemu kubwa ya seli za mtu aliyekufa inakuwa inafanya kazi (mfano mtu anaweza kufa lakini bado nywele zikaendelea kuota).
Je nini kinakufa tunapokufa? (Uhai sasa ni kitu gani?Je ni akili? Moyo au?)
Imani kadhaa leo zinatoa elimu juu ya jiografia ya peponi lakini hazielekezi mini kitatokea ndani yao (uhai upo wapi?).
Inakuwaje tunafahamu vitu vingi lakini hatufahamu asili ya uhai wetu?
Kuna kumbukumbu nyingi zimebebwa na seli ndiyo zinazoongoza seli kujitambua kuwa ni seli za binadamu au mimea "memories are entrenched in cells" (soft ware)."Software package" inachukua sehemu kubwa sana kwenye mwili wa binadamu na software ya binadamu inatiwa nguvu na kani za uhai "life force".
Kwenye Yoga yanaitwa "Prana" inayojidhihirisha katika maumbile tofauti matano yafuatayo:
1. Prana wayu (respiration processes and pulmonary action)
2. "Sarmana wayu" (hujihusisha na joto la mwili)
3. "Apana wayu" (inahusika na hisia" sensory activity"
4. "Udhana wayu" na (inajihusisha na wepesi au ueleo wa kitu buoyancy. Mfano uzito wa Mtu aliyekufa ni tofauti na akiwa hai kwa sababu ya kuondoka kwa "udhana". (one can feel the weight much more)
5. "Vyana" (huzuia kuharibika au kuoza na vyana inapoondoka mtu huanza kuharibika vyana inaweza kuwa hai ndani ya siku 14 tangu mtu anapokufa.
Baadhi ya jamii huchelewesha kuzika ili hatua hizo kupita kwa ukamilifu au imani kuwa huenda anaweza akarudi.
Mtu anapokufa anakuwa ameachana na mwili wake 'disembodied'.
Inawezekana wakati mwingine roho ya mtu kuzunguka nje ya mwili na tunapouzika ardhi au kuuteketeza mwili tutakuwa tumeipotezea roho husika mazingira yake na hii ni kwa faida ya aliyekufa na walio hai.