Kutafuta Umaarufu kwa Njia kama Hizi ni Upuuzi mkubwa sana.. Sina Hakika kama Akili Za Viongozi zinawatosha... Hili la umaarufu wanalolitafuta litageuka kuwa laana
Kuzuia Siasa kwenye msiba wa Mawazo ni sawa na kumtaka Padre au Sheikh asimtaje shetani wakati wa ibada; kitu ambacho hakiwezekani aslani.
haya maswali majibu huwezi kupata,, na ukipata yatakuwa ya kisiasaKwa hiyo RPC ana nguvu kuliko Rais?
Why yeye Magufuli alipoona RPC anaenda kinyume na misimamo yake hakuingilia kati?
Why mpaka watu waende mahakamani wakati ilikuwa ni kazi ya dakika moja kwa Rais
kumpigia simu IGP na kumpa maelekezo?
Why mmeanza 'kibarua ' cha kumtetea Rais bila kuombwa?
cc Nyani Ngabu....
Vizuri nimekuelewa.
Ila niulize tu hapo kwenye red; hivi shetani ni jina muhimu kwenye ibada?
Haya maswali majibu huwezi kupata,, na ukipata yatakuwa ya kisiasa
Una dalili zote za ushogaKwa hiyo RPC ana nguvu kuliko Rais?