Mwili na kauli ya Michael Jackson kabla ya kukata roho.

It's unethical and immoral to display the dead body's image.
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe.
Hii tabia ya kuweka picha za watu waliokufa bila idhini ya wafiwa ni kitu kibaya sana.
Mfano vyombo vyetu vya habari vipo mbele sana kutoa picha za watu walikufa na isitoshe
wanatoa picha za watu walliokufa kwa ajali wakiwa na hali mbaya ambayo hata mtu mzima
unaona tabu kuingalia hiyo picha,je watoto au ndugu wa marehemu wanachukuliaje?
Wanaoto picha hizo ikiwa ni ndugu zao wanatolewa,je watajisikijiaje?
 

Hii Picha Imetolewa Na Vyombo vya habari vya kimataifa, ktk kesi ya Daktari Wa Mj, swali je familia ya Mj hawajaiona, pili mbona mnamshambulia mwenzenu kana kwamba yeye ndiye aliye piga hii picha? mwisho tuache kuwaona wenzetu wanaopost habari kuwa ni wajinga.
 

Toa unafiki wako hapa, we si ulisemaga eti mi naongea pumba sasa unaungana na mimi nini? Mi huwa sifagilii masaburi kama wewe, unasikia weweee?
 
kwa hiyo tz1 siku ukitwaliwa na Bwana MUNGU wako itabidi usahaulike on the sport.
 
Mkuu hujaelewa namaanisha nini.Sijasema aliye weka post,nimesema viombo vyetu vya habari wanaweka picha
za maiti na nyingine zikiwa katika hali mbaya sana.
 
kwa hiyo tz1 siku ukitwaliwa na Bwana MUNGU wako itabidi usahaulike on the sport.
Je kwa mfano jamaa yako amefariki kwa kupata ajali na mwili umeharibika ungependa picha iwekwe kwenye magazeti?
Hii huwa inakuwepo kila mara kwenye vyombo vyetu vya habari.
 

what is ethical and unethical as far as social forums are concerned ?
Do you remember the case of journalist who awaken the world with the then Ethiopian deaths from hunger ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…