Mwili kuchoka sana na maumivu makali ya mgongo

Habari Wakuu,
kwa zaidi ya mwezi sasa nimekuwa nikipata tatizo la
1.mwili kuchoka sana kusiko kwa kawaida
2.maumivu makali ya mgongo

Hapo zamani nlikuwa mtu wa kufanya mazoezi,nliacha mazoezi sababu ya kuskia mavumivu kwenye miguu hasa nikiwa nakimbia.Nikiwa katika kutembea nakuwa sawa kabisa/Very Normal,ila baada ya kukimbia umbali mkubwa kama 7-10Km kwa siku 3/4 kuendelea basi miguu huanza kuniuma na kupelekea kuacha mazoezi

Nikiri kuwa nina weight kubwa kuliko BMI yangu (iko kwenye overweight).Lakini tatizo hili la mgongo kuuma sana na mwili kuchoka mno limeanza zaidi ya mwezi sasa Na katika kipindi hiki sijaongezeka uzito
Urefu 177cm
uzito 93Kg
Naomba msaada/ushauri zaidi wa kiafya
Jibu
Kwanza punguza ulaji wa vyakula vya wanga hasa wali, pia ulaji ulaji wa vyakula vitokanavyo na wanyama kama maziwa na nyama, yoghut nk.
Check afya yako hasa figo. Punguza uzito wako kula good diet (
organic food). Jitahidi kufunga/fasting hatakama utakunya maji tu.
 
Habari Wakuu,
kwa zaidi ya mwezi sasa nimekuwa nikipata tatizo la
1.mwili kuchoka sana kusiko kwa kawaida
2.maumivu makali ya mgongo

Hapo zamani nlikuwa mtu wa kufanya mazoezi,nliacha mazoezi sababu ya kuskia mavumivu kwenye miguu hasa nikiwa nakimbia.Nikiwa katika kutembea nakuwa sawa kabisa/Very Normal,ila baada ya kukimbia umbali mkubwa kama 7-10Km kwa siku 3/4 kuendelea basi miguu huanza kuniuma na kupelekea kuacha mazoezi

Nikiri kuwa nina weight kubwa kuliko BMI yangu (iko kwenye overweight).Lakini tatizo hili la mgongo kuuma sana na mwili kuchoka mno limeanza zaidi ya mwezi sasa Na katika kipindi hiki sijaongezeka uzito
Urefu 177cm
uzito 93Kg
Naomba msaada/ushauri zaidi wa kiafya
Hii ni dalili ya cholesterol kuwa too high na pengine uenda ukawa na sukari pia.....nakushauri kacheck afya yako.
 
Back
Top Bottom