halafu njemba inaondoka nguna yote hiyo bila hata bilauri ya maji...
Mbona kawaida tu....
Naomba matokeo je alimaliza!
Mie huo hata haunitoshi
alidai na nyingine nilikuepo siku hiyo.Naomba matokeo je alimaliza!
Naomba matokeo je alimaliza!
Mzee wangu nimemuonesha hii picha ajang'aka kwamba huyu ni Nsajigwa!? Tumebishana mpaka baasi.
Nsajigwa ndio nanii