Mwili George Floyd ulivyoagwa, Askari wapiga goti

Mwili George Floyd ulivyoagwa, Askari wapiga goti

Ingekuwa poa ungeenda kwenye izo Nchi ulizozitaja uwaulize sisi hatutokupa jibu linaloeleweka
Umefikiria weee! Ukaona ili upate jawabu la Jambo fulani katika nchi fulani ni lazima kwenda kuwauliza watu wa nchi hiyo!.
 
Kwa huyu wa kwetu hapa ( beberu) nae amefanya hivyo siku Lissu alivyompiga risasi
 
Naamini wasingepiga magoti kama kusingekua na maandamano,huo ni unafiki wao tu mkuu.
George (black) vs Askari (white) ingekuwa vipi kila mtu pale US angesupport mtu wa rangi yake? Yaani weusi wapinge mauji ya mweusi mwenzao afu wazungu wachukulie poa tu kwa kuwa aliyeuwawa ni black na aliyeua ni Mzungu mwenzao.
 
Watu mnawaabudu sana wazungu, me naona ni kheir mtu anayekuonesha chuki ya wazi unaweza kuepukana nae kuliko mnafki anayekuchekea usoni huku rohoni ana chuki ya hali ya juu na huyu anaweza kukumaliza kinyama,

Hayo magoti ni maigizo kama maigizo ya Joti na Mpoki, rohoni wanashangilia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwani huyu ndio wakwanza kumtoa uhai wake sikwasababu wameona reaction yawananchi safar hii imekua hot sana

Mijamaa minafiq sana hii asee[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hawa jamaa nnachowapendea nikwamba wanaweza ama wanajua sehem zakujiongeza yaani hapa wataonekana kondoo kumbe bado ningozi zanje tu wakati ndani jamii zao halisi zinajulikanika[emoji23][emoji23][emoji23]

utumwa kwanamna hii hautakaa umalizike.
 
Watu mnawaabudu sana wazungu, me naona ni kheir mtu anayekuonesha chuki ya wazi unaweza kuepukana nae kuliko mnafki anayekuchekea usoni huku rohoni ana chuki ya hali ya juu na huyu anaweza kukumaliza kinyama,

Hayo magoti ni maigizo kama maigizo ya Joti na Mpoki, rohoni wanashangilia.
Shida ya watu weusi tujiona inferior sana, chuki haingalii rangi, muafrika kwa muafrika tunachukiana, Mzungu kwa Mzungu wanachukiana, nk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwani huyu ndio wakwanza kumtoa uhai wake sikwasababu wameona reaction yawananchi safar hii imekua hot sana

Mijamaa minafiq sana hii asee[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hawa jamaa nnachowapendea nikwamba wanaweza ama wanajua sehem zakujiongeza yaani hapa wataonekana kondoo kombe bado ningozi zanje tu wakati ndani jamii zao halisi zinajulikanika[emoji23][emoji23][emoji23]

utumwa kwanamna hii hautakaa umalizike.
Tazama video ili ucomment kuendana na mada.
 
Polisi kuomba msamaha kwa makosa walofanya ni mfano mzuri na wakuigwa,kwa wengine askari huyo angeendelea kudunda tu.
Swali, hivi waarab, wahindi, wachina, nk wanaweza kufanya haya kwa mtu mweusi?

View attachment 1470010
Mtu mweusi mwenyewe hawezi kufanya haya kwa mtu mweusi mwenzake,ubaguzi wa kwanza wa mtu mweusi hufanywa na mtu mweusi mwenzake,wenyewe kwa wenyewe tunafanyiana haya,wazungu hapo wametusaidia sana kutukumbusha.
 
Huko sio kupiga goti, nilitegemea nikute magoti yote chini.

Yule jamaa aliuawa kwa kuwekewa "goti", inakuaje hii tena kipindi cha maziko yake?
 
Polisi kuomba msamaha kwa makosa walofanya ni mfano mzuri na wakuigwa,kwa wengine askari huyo angeendelea kudunda tu.

Mtu mweusi mwenyewe hawezi kufanya haya kwa mtu mweusi mwenzake,ubaguzi wa kwanza wa mtu mweusi hufanywa na mtu mweusi mwenzake,wenyewe kwa wenyewe tunafanyiana haya,wazungu hapo wametusaidia sana kutukumbusha.
Msamaha wa kushurutishwa huo baba! Mzungu gani from nowhere akupigie goti! Thubutu
 
Back
Top Bottom